Mwanamke ni kama pasi!

nadhani bulb zitakuwa zinatumia wa nuclear af pasi wa solar hadi zipashwe ndo charge ijae!
 
kibweka leo watoa somo huku vipi jukwaa letu kubwa nako umetoa shauri kama hizi?
well done
 

mimi like this bana!bhaaaaaas!
 
kibweka leo watoa somo huku vipi jukwaa letu kubwa nako umetoa shauri kama hizi?
well done

Leo ndo natoa mada yenye mtiririko jukwaa la wakubwa ningeiweka huku ila yenyewe imezidi vikorombwezo vya kuwasha pasi. Usikose kuisoma.....!!!
 
Heko Kimbweka, ebu tukutane na kule kwenye jukwaa letu,maarufu.
 
Siku hizi kuna pasi za umeme ukigusa switch tu ya moto tayari...
 
Siku hizi kuna pasi za umeme ukigusa switch tu ya moto tayari...

Fanya practice... pasi ya umeme inavyopata moto si sawa na taa ya umeme unavyoiwasha na kuwaka, zinatofautiana muda
 
Kwa kweli kama kuna watu wamependelewa humu JF ni hapa MMU..
Kama kwa nondo hizi bado mahusiano yanalegalega basi it wasn't meant to be...
BTW dadaangu AshaDii mzima??..mara ya mwisho nilikuona kule kwa Maxence!!


Mie mziwa wa afya... Wewe SnowBall uko pouwa? Nakubaliana na wewe kuhusu wana MMU kupendelewa.
 
My mwali... always a pleasure my niece... I am glad you introduced me to snochet, how did you meet him? Hi Snochet nice to meet you.
Njiani kwenda shule. Anasoma next to my college.
He is my friend, we chat a lot. Nitakwambia zaidi
this weekend as nakuja kulala hapo nyumbani...
 
Kimbweka nimeupenda mwandiko wako sana tu. hapa sijui kama mwl mwenzangu snowhite kaupita lol! nimependa sana sana jion nitakupa chai ya moto na karanga ili mke mwenzangu akafaidi. wasemaje hapo?
 
Last edited by a moderator:
Kimbweka nimeupenda mwandiko wako sana tu. hapa sijui kama mwl mwenzangu snowhite kaupita lol! nimependa sana sana jion nitakupa chai ya moto na karanga ili mke mwenzangu akafaidi. wasemaje hapo?

Alaah aakubar!!!! Swadakta, ntakufaidisha nawe pia gfsonwin ...............
 

kibweka wewe lazma ni mwanamke ulielazimishwa kuwashiwa pasi kwa nguvu, ukapata mauchungu, mwanaume asingeweza kusimulia hivi. hata hivyo umegusa pande nyingi. lkn mke wangu anatabia baada ya sex anasema asante mume wangu hata kama sijafanyakazi kubwa, naomba utabiri wako hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…