Mimi: Ndiyo, kwa sababu hakuna alichokosa kwangu na licha ya kumsamehe baada ya kugundua anamichepuko pia.
Babu: Hahahahaa! Mwanamke ni bingwa wa kuacha kwanza alimuacha babake na ***** akaja kwako akabadili na jina akaacha kujiita kwa jina la babae akajiita kwa jina lako, pili aliacha ndugu zake akaja kujiunga na ndugu zako, tatu aliacha ukoo wake na jamii ya kwao umeona hapo mjukuu wangu?
Mimi: Kweli
Babu: Kwahiyo wewe mtu mmoja ndiyo ataona taabu kukuacha?
Huwa hatuachi ndugu na familia zetu, Bali huwa tunaishi mbali nao. Ila mioyoni mwetu, bado wanaishi na simu tunawapigia , na tukipata muda tunawatembelea.
Ila mwanamke akimuacha , mume connection yote inakuwa terminated.