Nipo hapa pande za kurasini. Katika kupita pita nikasikia makelele makubwa sana. Wadada wenye age kati ya 28 mpaka 35 hivi wakiwa wanapigana mbele ya kadamnasi.
Sasa kilicho nishangaza mpaka nimechoka na kuanza kumuwaza mwanamke kwa ujumla wao ni hiki chanzo cha ugomvi wao.
Wote wawili ni wake za watu. Ugomvi wao ni kwa bwana wao ambaye kimsingi wote wawili siyo mume wao.
Wanaume, tuwe wavumilivu sana.
Uvumilivu wa mwanaume namaanisha ni kukabiliana na mambo mengi ambayo yapo nyuma ya pazia katika ndoa nyingi.Hapo nilipobold sijakuelewa kabisa, wanaume tuwe wavumilivu kwa lipi? Unaaminisha tukikuta wake zetu wanapigania mabwana wengine tuvumilie? Au ulikuwa una maana gani hasa hapa?!
Kwa mke wa mtu kupigania bwana ni dalili wazi kuwa huyu aliyenaye hana maana na ndiyo maana yuko tayari kupigana na mwenzake ili aendelee kuwa na huyo mwanaume mwingine. Hii pia inaonyesha hali ya kutokuwa na uaminifu ktk ndoa, kitu kinachohatarisha hata maisha kwa sababu ya magonjwa ya siku hizi. Suala hili linamdhalilisha mwenye mke, na kumeletea fedheha yeye na familia yake pia. Sasa huu uvumilivu wa wanaume unaozungumziwa ni upi? Wa kuvumilia kusalitiwa?
Uvumilivu wa mwanaume namaanisha ni kukabiliana na mambo mengi ambayo yapo nyuma ya pazia katika ndoa nyinyi.
Kwa case ya hawa wa dada, kama akutakuwa na uvumilivi kwa mume yoyote kati ya waume hao. Familia itasambaratika na mateso yataenda moja kwa moja kwa watoto.
Kwani tabia za ngedere ni sawa na za kima.
Ngedere wana tabia zao na kima wana tabia zao.
Tofauti itakuwepo kidogo kwa wachache wao.
Waulize cheaters wote wakuambie. Kuwa cheated na small hausi inauma kuli kuwa cheated na mwenza halali. Manake unajirisk na kujivisha mabomu kwa ajili yake. Sijui nawazaje leo!
On point
Smoo hausi inauma sababu huwezi kui-controll na hofu ya kuachwa
Nahisi smoo yangu inanichit
unamaanisha nini hapo kwa bold?waume zao hawajitumi je. fanyeni sehemu yenu mke ukimtengeneza vizuri hatoki nje hata siku moja sisi ndio washenzi hata upewe style gani utataka ungungulie tu jiko la jirani. care your wife hawezi kutoka nje ya ndoa.