Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama nilivyo tofauti na vifidodido vinavyojipa majina makubwa lakini sura mbayaaaaa. Mwanamke kujiaminiiiiii.........
Hao wenye sura mbaya umewaona wapi?
Mpaka ufikie kumuita mwenzako mbaya ilhali humjui, basi una matatizo.
PS
Sijaona hiyo avatar yako, upload kwenye thread, via mobile na sie tupate cha kutukera.
Hao wenye sura mbaya umewaona wapi?
Mpaka ufikie kumuita mwenzako mbaya ilhali humjui, basi una matatizo.
PS
Sijaona hiyo avatar yako, upload kwenye thread, via mobile na sie tupate cha kutukera.
Acha choko choko wewe mtoto
Huoni mtoto mrembo huyo?
Makelele ya nini kila siku wewe? Si uweke sura yako watu watutathmini.
Makelele ya nini kila siku wewe? Si uweke sura yako watu watutathmini.
Hujui kusoma? Maana nimeandika sioni na bado unaniuliza kama sioni. Au tatizo kwenye kuelewa?
Achana nae sweetie huyo anasura kavu kama anapuliza kijinga cha moto
Utajibeba
Makelele ya nini kila siku wewe? Si uweke sura yako watu watutathmini.
Wewe kama uko labor. . . . .
Nonsense.
Wewe kama uko labor. . . . .
Sihitaji tathmini zinazofanywa na vivuli, wakunitathmini shurti na mie niweze kumtathmini.