Inaonekana wewe unaogopa kufamaniwa kwenye mtandao!
It happens, nilishawahifumaniwa Jf, nili log in Jf nikasahau ku sign out, tena mbaya zaidi nilitumia simu yake, yangu haikuwa na chaji, kilichotokea hapo, naye amejiunga Jf, Id yangu anaifahamu, kila ninachokomment lazima akisome!
Hivi Instagram una mu-update mtu? Sijwahi kutumia hii kitu naisikia tu.
kwan kuna tatiz mtu ukidesa idea mpya then ukaifanyia kazi
We siafu dume tabia kama hiyo haisababishwi na uwepo wa mitandao bali ni tabia binafsi. Mtu anaweza akawahadithia majirani/work mates/ mashoga au ndugu zake mambo hayo hayo ilimradi awe amesema. Tena bora hapa watu hamjuani.....Kujiamini ni kumwacha mwanamke ...awe anapost kila kitu kinachotokea kwenye ndoa mmu...kama yule kapigwa kibao tu kakimbila mmu kupost...alafu wakatii mwingine ni ushamba kuliko ujanja zaidi kama mnavyo fikiria......angalia definition ya KUJIAMINI vizuri
Nzuri sana ila vp mfano unapotaka kumhabarisha mtu unapoanza tu akakwambia aaah nilishaiona naifahamu progressive hamasa ya kuhabarisha inapungua vitu vinakuwa vya kawaida tu
^^
Ashinde online! Alale online! Atafute relations online! Alete principles za online ktk ndoa!..
Mwanaume akilalamika useme hajiamini?
^^
basi mie sintoolewa kabisaaaaa
Hapana cmanishi awe old fashioned ila kuwa mtumiaji sana mitandao ya kijamii na tofautitofauti kunampa fikra za kuanza kujua mambo mengi yatakayompa ubusy wakuyatafakari assume hata mautundu yake ya mapenz unayofanya anaanza kuku enjoy tu unajua umedesa MMU na anaona hakuna jipya kwako
sioni tatizo..........
^^
Sina jibu la moja kwa moja ila mtazamo wangu ni kuwa..kwa jinsia zote Mitandao ni kama kisu..ukikitumia vizuri hakina tatizo ukikitumia vibaya kinaweza kukukata na ukaachiwa majeraha.
^^
Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
Binafsi sioni kama ni tatizo,mitandao ya kijamii ina faida nyng na hasara kwa mtu ambae anashndwa kuitumia vizuri...
Kila mtu ana tabia zake na hivo ivo kama ni chafu atatumia mitandao kwa kufanya uchafu wake na pia huyo mwanamke ambae ukifanya kitu anaenda kukuanika huko katk mitandao ya jamii hakika hakupendi hata kidogo ujitoe mapema tu.
Kuna baadhi wanapenda mauzo huko kwenye mitandao ya kijamii anataka kila afanyacho apost,yani lazima mjue kavaa nini kuanzia jumatatu mpaka jumatatu,ikatokea huyo ndo mpenzio na wew haupend hyo tabia,ukimwambia haupend na anakupenda atakusikiliza.
Wengine si watu wa mitandaoni lakini tabia zao ni chafu balaa so kama wahtaj wife material muombe Mungu atakupa
Kumbe unaongea hivyo kwa sababu ya ushemeji..!! ila ukweli ushamaba wa mitandao ni mkubwa jf-mmu inaweza isiwe sana...lakini face book ni sana...mtu hata kama anasaidiwa kukata kachumbari atapost...tuna kata kachumari na picha za ajabu ajabu...unakuta mtu kaolewa lakini picha kila dakika kila saa tena za ajabu ajabu.(maisha ya chuo kwenye ndoa).....kukataa haya sio kipimo cha kujiamini kwa mwanaume ila ni KIPIMO cha MWANAUME anayetaka FAMILA bora yenye mkee nna mume na WATOTO wenye maadili na MKE na MUME wanaoishi Kkama MATURED people....HUYO MNAEMSIFU ANAJIAMINI MNAMSIFU UJINGA tuWe siafu dume tabia kama hiyo haisababishwi na uwepo wa mitandao bali ni tabia binafsi. Mtu anaweza akawahadithia majirani/work mates/ mashoga au ndugu zake mambo hayo hayo ilimradi awe amesema. Tena bora hapa watu hamjuani.
Plus, ni kila member humu unamuona akielezea kinachoendelea kwenye maisha yake?Acheni uvivu wa kufikiri. Huyo mwanamke asiyefahamu mambo ya mitandao kama anapenda kuongelea sana mambo yenu/yake atakuongelea mtaani,kwa ndugu na marafiki zenu na utaishia kufyonzwa/kunyooshewa vidole,kubezwa na kudharauliwa kama anakusema kwa mabaya na mapungufu yako.
King'asti . . .Miss sana wewe wifi. Kaka yako angekuwa hajiamini kama hawa jamaa tungehamia mars aiseee.
Naomba unijuze kirefu cha MMU
kuna watu wanadesa hadi mambo ya ajabu tatizo, unakuta mdada anapost picha za utupu instagram...sijui ndo kuwa fashioned, mi sielewagi kwa kweli, jaribu kusearch jmosha instagram,utanielewa ninachomaanisha
Ndio kama utatolewa out baadae mtandaoni oooh kanitoa out wacha ajishauwe kuninunulia vitu vya bei kumbe account yenyew ina mil3 tu kama ndo hvo hutoolewa ila nakuombea isiwe hivyo tujifunze na kurekebishana icwe tu much mitandaoni every sec online