Saa mkuu CALMAN unataka mkeo asiwe updated na mambo yanayoendelea ulimwenguni?au kwa kiswahili kingine unataka mkeo awe old fashioned?kupata mke mwelewa ni faida kwako na kwa kizazi chenu kijacho kwani mama akiwa na ufahamu mkubwa uwezekanao wa watoto kuwa na ufahamu mkubwa pia ni mkubwa,sasa kama unataka mke awe kilaza jiandae kuwa na kizazi kilaza pia,so kwa ufupi mi sioni tatizo mwanamke kujihusisha na mitnadao ya kijamii ilimradi tu anajiheshimu na haperuzi mambo yasiyofaa,na wala hilo halimfanyi mwanamke kukosa kigezo cha kuwa wife material.
jamani mkuu Himidini ubaya uko wapi mwanamke akijihusisha na mitandao ya kijamii?
Hapana cmanishi awe old fashioned ila kuwa mtumiaji sana mitandao ya kijamii na tofautitofauti kunampa fikra za kuanza kujua mambo mengi yatakayompa ubusy wakuyatafakari assume hata mautundu yake ya mapenz unayofanya anaanza kuku enjoy tu unajua umedesa MMU na anaona hakuna jipya kwako

Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
kwan kuna tatiz mtu ukidesa idea mpya then ukaifanyia kazi
....Kujiamini ni kumwacha mwanamke ...awe anapost kila kitu kinachotokea kwenye ndoa mmu...kama yule kapigwa kibao tu kakimbila mmu kupost...alafu wakatii mwingine ni ushamba kuliko ujanja zaidi kama mnavyo fikiria......angalia definition ya KUJIAMINI vizuriHamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi
...Umeandika vizuri sana....lakini yale mambo ya kuandika kila kitu kinachotokea kwenye ndoa au mahusiana ni mbaya sana...na face bookhua nashanga mwanamke km ameolewa au na mchumba wanaheshimiana -huwa wanapost picha wamekaaa uchi kwa nini..?Binafsi sioni kama ni tatizo,mitandao ya kijamii ina faida nyng na hasara kwa mtu ambae anashndwa kuitumia vizuri...
Kila mtu ana tabia zake na hivo ivo kama ni chafu atatumia mitandao kwa kufanya uchafu wake na pia huyo mwanamke ambae ukifanya kitu anaenda kukuanika huko katk mitandao ya jamii hakika hakupendi hata kidogo ujitoe mapema tu.
Kuna baadhi wanapenda mauzo huko kwenye mitandao ya kijamii anataka kila afanyacho apost,yani lazima mjue kavaa nini kuanzia jumatatu mpaka jumatatu,ikatokea huyo ndo mpenzio na wew haupend hyo tabia,ukimwambia haupend na anakupenda atakusikiliza.
Wengine si watu wa mitandaoni lakini tabia zao ni chafu balaa so kama wahtaj wife material muombe Mungu atakupa
Hapana cmanishi awe old fashioned ila kuwa mtumiaji sana mitandao ya kijamii na tofautitofauti kunampa fikra za kuanza kujua mambo mengi yatakayompa ubusy wakuyatafakari assume hata mautundu yake ya mapenz unayofanya anaanza kuku enjoy tu unajua umedesa MMU na anaona hakuna jipya kwako
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia mitandao ya kijamii zaidi ya moja mfano MMU, SIASA (JF),FB, INSTAGRAM nk huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora m/me akawa anafahamu mambo mengi kuliko m/ke atakudharua sn maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife material kweli!
Hamna kitu kinachosha kama mwanaume asiejiamini aisee.
Khaaaa! No wonder wachumba hawapatikani tena siku hizi