Mwanamke na mbio za sakafuni

Mwanamke na mbio za sakafuni

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,025
Reaction score
1,878
Mwanamke akiwa na umri wa miaka 13 ukimwambia "Mambo? Atakujibu safi shikamoo

Mwanamke akiwa na umri wa miaka 15, ukimwambia "Mambo? Atakujibu powa vipi?
Hapo ameshaanza kuelevuka hata shikamoo anaiona ni mzigo

Mwanamke akiwa na umri wa miaka 18, ukimwambia "Mambo!
Atakujibu safi tu huku anatabasamu,
Ukimuita ukaanza kumtongoza utasikia atakavyokujibu "Samahani kaka angu mie bado nasoma, tafuta unaoendana nao"

Mbaya zaidi anakupa majibu hayo kukuaminisha kuwa yeye yuko bize na elimu, kumbe huko shule kwenyewe anamegwa kama kawa na wanafunzi wenzake

Mwanamke akifikisha umri wa miaka 22
Ukimfuata na kuanza kumtongoza hapa boy ni lazima ukubari kuangaliwa juu mpaka chini, na asipolizishwa na muonekano wako, tegemea jibu hili, "Nina boyfriend wangu nampenda sana na siko tayali kumsaliti"

Na akishakujibu hivyo hasimami tena mahala hapo huyooo anaondoka zake

Mwanamke akifikisha umri wa miaka 26
Ukamuita na kuanza kumtongoza, tegemea majibu haya, "Siwezi kuwa na wewe utanisamehe kwa hilo"

Ukimuuliza kwanini? Atakujibu,
"Nawaogopa wanaume"

Ukimuuliza kwani wewe bado bikira mpaka uwaogope wanaume?

Atakujibu "Hapana bali nilishawahi kupenda nikaambulia kutendwa"

Ukimfuatilia kwa umakini baadae utagundua kuwa alichokisema hakina ukweli, bali alikuona huna kazi ya maana, akili yake ikamwambia hatoweza kukutunza

Mwanamke akifikisha umri wa miaka 28 kuendelea, hana ujanja tena

Ukimtongoza anafikiria kuwa unataka kumuoa

Hapo utakubaliwa haraka kweli,
Mara ghafla anaanza kukupa mipango ya miaka kumi ijayo mpaka unaanza kuboreka,
Na hata kabla miezi mitatu hamjamaliza ataanza kukuuliza, "Kwetu unakuja lini?

Ukimuona anakuuliza hivyo na wewe mjibu hivi, "Nije kufanya nini? Kwamba kuna staili huwezi kunipa mpaka nije kwenu"

Hawa viumbe huwa hujifanya ni wajanja sana wanapokuwa na umri mdogo

Mtu unamfuata ili mjenge mipango ya baadae, yeye anakuona kama takataka

Akishapanda magodoro kibao sasa ndio anaona kuwa kuna umuhimu wa yeye kuolewa

Wadada punguzeni viburi, nyodo na midomo midomo, Kama mnazitaka ndoa
Zaidi ya hapo mtazeekea makwenu,
 
Nachokifurahia ni kwamba hata wewe mleta mada ulizaliwa na mwanamke ambae kapitia steji hizo hizo ambazo umezianisha hapo juu,lakini huenda una dada pia ambao wanapitia hatua hizo hizo na huenda utakuja kuwa na mabinti ambao watapita hatua hizo hizo,kwa hiyo kama imekukera sana hiyo tabia Anzia kwanza kwa watu wako wa karibu wa jinsia ya kike.

Kuwaelimisha ili wasije wakazeekea makwao,tayarisha semina safi kwa ajili ya mabinti zako hapo baadae ili wasije wakazeekea kwako,maana charity begins at home,all the best mkuu.
 
Itakuwa ashafanya hivyo
 
mwanamke anaweza kutongozwa on spot akakataa kistaarabu tu, lakin tatizo linakua ni majibu machafu pale kweny mtongozo time! yani hawanastaarabu ata kidogo utazani aendi chooni
Hahaha aise hapo ndo shida
Sio tabia nzuri kumjibu mtu ovyo
Bora kumwambia mtu kiustarabu
 
Hivi hizi stage mnatoga nazo wapi....Mbona Mimi nikitongozwa siwazi ndoa kabisa...Naangalia Kama umenivutia kwanza...MWANAMKE anaejitambua nafasi ya hayumbishwi na maneno ya watu...au mitatazamo yatu...

Anajiamini nakujithamini, anajua kua Kila Jambo linapangwa na mungu na Kama mwenza wake wamaish ayupo Basi atakuja....Kuna wanaume wakiokona mkubwa kidogo wanadhani wewe Ni booty call...Yaaani akiwa na nyege anakutafuta akiwa Hana , Hana muda na wewe...

Mine nadhani hii nadharia wanayo wanume wasiojielewa Kama wewe.....eti mwanamke na mbio za sakafuni.RUBBISH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka wamkubalie kila mwanaume eti kisa kuna kuolewa? they deserve better than that!
KWELI kabisa...Kuna mwingine alikuja na uzi hapa eti Ukifikisha miak 28 kubali yoyote hata mbeba zege au yule mlevi kutupwa mtaaani kwenu kwai huna thamani Tena ...what?..

Mwanamke awe na yule atakae mpenda...sidhani Kama kuwa na mwanaume Ni KITU CHA MAANA ZAIDI HAPA duniani...Kuna wanawake wanavulimia ujinga wahali yajuu eti Nina Mika 29 NITAPATA WAPI mwingine...what is this?

Unaweza kuishi maisha yaliyo mema yakumpendeza Mungu na mazuri bila mwanaume....Kutokuwa na mwanaume kusimfanye mtu ajitoe thamani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuaje kama hajawaambia ?! WAnawake hamna akili, kukurupuka tu.

Back
Top Bottom