Mwanamke na mbio za sakafuni

Mwanamke na mbio za sakafuni

We jamaa analysis yako bwana, sijui umeitoa wapi aloo. Mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa mnatunga vitu unavibeba bila hata kuvichunguza nawe unavileta hapa.

Huyo wa miaka 18 mwanafunzi, we unamtongoza wa nini? Eti kumbe anamegwa na wanafunzi wenzie, sasa we jamaa unamtongoza mwanafunzi na bado unajihisi wewe ni mwanaume kabisa katika jamii? Au huyo wa miaka 22 kakujibu vizuri tu kuwa ana mtu wake na hataki kumsaliti, sasa shida iko wapi hapo, unataka amuache mtu wake kisa wewe kwa uspesho gani ulionao? We demu wako akitongozwa na lijamaa siku ya kwanza tu akakuacha utaona sawa?

Kama walitongozwa wakamegwa in their youth time sio dhambi, siku moja atatokea muoaji atawaoa tu au wewe unataka kutuambia mwanamke uliyemuoa ndio uliyeanza nae uhusiano tangu uzaliwe?

Hebu tuwapumzishe kina mama hawa aisee, teory zimekuwa nyingi mno kuwahusu na baati mbaya nyingi ni za negative. Katika maisha mwanaume kutongozwa na kukataliwa ni kitu cha kawaida sana mkuu, sijui kwann hadi uanzishe uzi. Na kumbuka wana haki kukubali au kukataa wakitongozwa.
 
Unajuaje kama hajawaambia ?! WAnawake hamna akili, kukurupuka tu.
Ni kweli mkuu sina akili sibishi hata kidogo ila ningependa tu kukumbusha wanawake wasio na akili kukurupuka tu,that includes mama yako mama mdogo zako Dada zako shangazi zako na ndugu zako wote wa kike,

Natumai tu hukutokea kwa sababu ya kukosa akili kwa aliyekuzaa na kukurupuka kwake

Hongera kwa kuwa mwanaume mkuu
 
Back
Top Bottom