Mwanamke na maombi

Nilikua sijui kama Lamomy ana akili,leo ndio nimejua🤭🤭🤭.
Umeongea ukweli 10000%.
Na wewe uwe vivyo hivyo sio wasema ilhali wafanya tofauti na ulivyonena.
 
Nilikua sijui kama Lamomy ana akili,leo ndio nimejua🤭🤭🤭.
Umeongea ukweli 10000%.
Na wewe uwe vivyo hivyo sio wasema ilhali wafanya tofauti na ulivyonena.
Kwasababu ya kujadili yale majini? 😂😂
 
😭😭😭😭😭😭.
Ushaanza isije ikawa umeamka na vodka asubuhi hii!
Mimi na vodka wapi na wapi kaka mkubwa? 😹
Ila wale majini unawaogopa sana aisee.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…