Mwanamke na maombi

Kumbe sio kwa mmoja tu huyu atafungua mtaji soon 5000 kwa watu 2000 ni ml,1 elfu kumi kwa watu 2000 ni ml 20 so ameshakuwa rich
 
Ameen, mama Pastor Lamomy ,maana neno linasema hadhina yako ilipo ndipo na moyo wako unakuwepo, na mie nimechagua hadhina yangu iwe mbinguni, na kuna mahala pia neno lasema kheri kutoa kuliko upokea.. nimeamua kumtolea vyote Bwana.. Hallelujah
Mungu akubariki na akupe matamanio ya imani yako kwake.! 🙏
 
Nikuoe?
 
Ubarikiwe 🙏
 
Umekariri 🤣🤣🤣
Nyie zile chitchat ziliwafunga macho, mimi ni mwanamke wa mithali shauri yako usinichukulie poa poa"
Wokovu umefikiwa.Anyway ulichokiandika sina Shaka nacho kabisa.Mungu ni mwaminifu Sana tukiomba kwa kumaanisha.Tumeambiwa wanawake ni jeshi kubwa.Niko shallow kwenye biblia wanawake WA mfano ni kina Abigail na Nani tena?🙆🙆🙆
 
MAJUKUMU YA MWANAMKE NDO YANA NGUVU ILA SI MWANAMKE MWENYEWE NDO MAANA UKIPATA MWANAMKE ASIYE-FIT KWENYE MAJUKUMU HAPO HAKUNA FAMILIA.
Familia huwa ni ya mwanamke, wanaume tunapambania familia ya mwanamke ipo safi huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…