Nipate wanawake sio mwanamke π sawa mchungaji kiboko ya wachawi πSio kweli maombi ni dawa, nakuombea upate mwanamke mwenye hofu ya Mungu uone tofauti na wanawake wa mataifa.!! π
Huyu atajaa kwenye mfumo wangu tu π€£π€£π€£Ngoja tuone
hahaha.. Praise aisee.. na kuwa nasimama madhabahuni kuhakikisha mpo salama wachungajiπππ chagua kitengo, tukuweke kwenye praise au cha kushika wenye mapepo?
do hujachoka Manyanza? ππ
Nina kazi na wewe ujue au unajizima data π€£π€£π€£taBado hujachoka Manyanza? ππ
π π πKazi ipi?
Mie mambo ya hela sitaki kabisa, na wala msinilipe hata hiyo Praise bure kusimama kulinda bure pia.. nitalipwa siku nikidanjaaa mbinguniBora ingekuwa KENZY angechagua kukusanya kapu la sadaka π
Ameen, mama Pastor Lamomy ,maana neno linasema hadhina yako ilipo ndipo na moyo wako unakuwepo, na mie nimechagua hadhina yangu iwe mbinguni, na kuna mahala pia neno lasema kheri kutoa kuliko upokea.. nimeamua kumtolea vyote Bwana.. HallelujahAlelujaaah.!! Bwana akubariki mtumishi.!!
Inapendeza kujiwekea hazina mbinguni
Saizi ni mchana mwache kwanza mtext ule mda wa kwenda kulalaHuyu atajaa kwenye mfumo wangu tu π€£π€£π€£
Sijaelewa yaani, unajaribu kusema Mungu anasikiliza sana wanawake wanaolia ama vipi....
Unapenda kuchora watu wewe....Hii hsbari bila picha ni uzushiπ
Wee kumbe!!Unapenda kuchora watu wewe....
π π πSaizi ni mchana mwache kwanza mtext ule mda wa kwenda kulala