Mwanamke na kufika kileleni

Hiii inausika sana............kukumbushana namna hii ndio muhimu......mwanaume atambuliwi kwa jina bali anatambulika kwa shughuri anayoifanya akikutana na mwanamke kitandani......mwendo ni kumkojozesha tu-kama ni mweupe mpaka anakuwa mwekundu.
 
Dah kitufe cha thanks sijiu kitarudi lini? Thanx sana mkuu
 
cheki vizuri hapo chini utaona jina la mwandishi
Hata Dina atakuwa ame-copy&paste Mwandishi anaitwa Dismas Francis Lyassa kitabu kinaitwa 'Jifunze namna ya kupata kila unachotaka toka kwa mpenzi wako'
 


tumeona
 
Hiki kilele cha kike inaonekana kiko elusive sana eeh...; afadhali ile jinsia nyingine ambayo ikishamwaga tu mchezo umeisha...
 
thanks kwa mtoa mada maana amegusa mahala pake na itatusaidia wengi, maana hapa na nyege zimenipanda ngoja
nirudi kwa demu wangu leo maana nimemmisi sana....
 
Huku ndiko unako toa point za nguvu na si ktk jukwaa lile wanalo kukimbiza kila siku. Endelea kubaki huku na kutupa vitu vya ukweli maana umefufua jukwaa kwa hoja nzito za leo zenye mafunzo ya kudumisha ndoa na mahusiano hasa kwenye sekta ya sita kwa sita. Bila mambo mazito kama hay tutakuwa tunaishia kuona picha tu ktk jukwaa hili
 

Huku ndiko unako toa point za nguvu na si ktk jukwaa lile wanalo kukimbiza kila siku. Endelea kubaki huku na kutupa vitu vya ukweli maana umefufua jukwaa kwa hoja nzito za leo zenye mafunzo ya kudumisha ndoa na mahusiano hasa kwenye sekta ya sita kwa sita. Bila mambo mazito kama hay tutakuwa tunaishia kuona picha tu ktk jukwaa hili
 

haaahaa asante mkuu,tuko pamoja sana!
 
mimi hii theory isiyo na picha ni ishu maana chura sijui kifo cha mende weka na picha bwana kuona picha ni rahisi zaidi kuliko maandishi hehehehehehehe
 
Heshma kwenu wakuu.
Nina mrembo mmoja ambaye tunapendana sana, tatizo lililopo, huwa wakati wa kummega, tunaanza vizuri tu na huwa anakuwa anapokea kwa raha sana mwanzoni, lakini muda unavyoenda na kwa mujibu wake ni kwamba anapoanza kuhisi anafika kileleni tu, huwa stimu zinamkata na kuanza kuumia kupita maelezo, yaani huwa anaumia hadi namwonea huruma. Nimejitahidi kumwandaa hata nusu saa nzima, lamba kila kona hadi anakuwa wet kabisa, but tukianza tu, hata dakika 5 hazifiki anaanza kulalamika kuumia, wakati huo mimi ndio maraha yamenoga kweli hivyo namlazimisha avumilie tu.

Nisaidieni ndugu, kuna tatizo gani hapa??
 
Jaribu kuwa unatumia lubrication material za ziada kila unapohisi ukavu kunako ie mate au KY
 
Una hakika amekweleza yote kuhusu yeye? Nina wasi wasi anaweza kuwa na bad sexual experience, kama vile kuwa raped na akikaribia kufika kileleni basi anakumbukia jambo hilo na linamkosesha amani. Kumbuka kwamba, kufika kileleni ni kileleni kwa kila kitu, sasa kama akili haipo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…