Ndugu wana jamii forum naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila Lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Making wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura.
Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba? Naomba kuwasilisha