Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,061
- 79,418
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli.
Kwa Sisi watibeli mwanamke mzuri ni Yule mwenye akili, Tabia njema, na Mwonekano.
Kuwa na kimoja hakukufanyi uwe mzuri.
Kuwa na viwili hakulifanyi uwe mzuri. Lazima uwe navyo vyote.
AKILI ZA MWANAMKE MZURI!
1. Lazima ajitambue yeye ni mwanamke
2. Lazima awe mchapakazi na mwenye kujituma kujitegemea.
3. Hawezi kuwa tegemezi kwa mwanaume au mtu yeyote.
Mwanamke yeyote tegemezi ambaye haumwi, anaafya njema, sio Kilema lakini ni tegemezi kwa mwanaume au mtu yeyote hayupo miongoni mwa wanawake wenye akili.
MTU mwenye akili hawezi kuwa tegemezi. Atatafuta namna aweze kujimudu.
4. Lazima awe na tija kwenye familia. Tija za maendeleo hasa ya kiuchumi.
Mwanamke mwenye akili huwa msaada Kwa mumewe kiuchumi. Lakini asiye na akili huwa mzigo.
Mwanamke asiye na tija ni mvivu na huzalisha Jamii ya wavivu.
5. Lazima atambue haki zake na apinge uonevu.
Huwezi ukawa tegemezi alafu ukawa unatambua HAKI zako.
6. Lazima apate Elimu au ujuzi wa kuendeshea maisha take.
Mwanamke mwenye akili lazima awe na Elimu, kwa sababu elimu ni nyenzo muhimu kwa binadamu.
Elimu ya darasani au elimu ya ujuzi Fulani. Iwe ni ushonaji, ususi, upishi, n.k.
Haiwezekani mwanamke awe na akili alafu asiwe na elimu wala ujuzi Fulani. Ukiona mwanamke Hana elimu, na wala Hana ujuzi wowote na yupo comfortable kabisa ujue kiwango chake cha akili Kipo Chini, chini Sana.
TABIA NJEMA YA MWANAMKE MZURI.
1. Msafi
Sio usafi tuu wa mwili. Bali usafi wa matendo. Mwanamke ambaye Hana Tabia za kimalayamalaya.
2. Anajiheshimu na kumheshimu Mwanaume wake.
3. Mchapakazi
4. Anajua yeye ni Mke na Mama
5. Anaheshimu Mila na desturi za haki katika Jamii Yake.
MAUMBILE NA MWONEKANO WA MWANAMKE MZURI.
1. Mwanamke lazima awe na Sura nzuri ya Kike.
Na kama anasura personal au sura Ya Baba lazima ajitahidi awe msafi kimwili na mapozi ya kike.
Sio unasura personal bado uzubaezubae au uwe unanuna nuna. Sura kama uji ilegeze, iwekee manjonjo. Wewe ni mwanamke.
2. Lazima uwe na rangi yenye kuvutia.
Kila rangi inavutia. Hapa muhimu ni
a) Usafi. Oga vizuri. Wanawake wengi bafuni wanajilipua. Hata dakika mbili hawamalizi. Hawajisugui. Wanapoteza Muda mwingi kwenye Kioo.
b) paka mafuta mazuri.
Ndio maana nikakuambia lazima ufanye KAZI. Sio mpaka pesa ya Mafuta usubiri kupewa.
c) kunywa Maji mengi kwa kufuata wataalam wa afya.
d) Pumzika Kwa wakati.
e) Kula Mlo Kamili
3. Shepu Matata
Kama ni mwembamba seti umbo lako kulingana na nature yake. Usijiharibu Kwa kulakula hovyo.
Kama umbo namba nane, seti likae katika mwonekano unaovutia zaidi. Sio ndani ya miaka miwili maminyama yanadondokeana. Jipende, jitunze na ujithamini.
4. Sauti
Ongea kidada kama ni mdada.
Ongea kimama kama ni mmama.
Kuwa na swaga za kike kulingana na umri, KAZI, hadhi, cheo chako.
Sio unaongea kama jinamizi.
5. Miondoko na Mikao ya Kike.
Tembea kulingana na umbo na umri wako.
Sio unatembea kama umekatika sentaboliti.
Na sio ujitingeshe kama chizi.
Kuwa Classic.
Kufikia hapa sina la ziada.
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam