Mwanamke mzuri ndo anagombaniwa? Bandari, Gas, Tanzanite, Graphite etc

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,463
Reaction score
1,284
Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi,

List ya urembo wa mama Tanzania,
1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc

2. KIFUA CHUCHU SAA SITA: GAS, LNG, HELLIUM GAS , MAFUTA YAMEGUNDULIWA JUZI,

3. WOWO LA TANZANIA KIUNO NYIGU:
Bandari Tanga, Bagamoyo , Dar es salaaam , Kilwa , Mtwara , KASANGA, KIGOMA, MBABA BAY, KYELA, MWANZA, MUSOMA, BUKOBA

4. GUU LA BIA : Mto Kilombero, mto Ruaha, mto Rufiji, mto Malagarasi, mto Ruvuma, mto Pangani, mto Musoma ardhi tamu hekta milioni 44

NJOONI BILA POVU
 
Mbona tunazidi kuwa omba omba?
 
Tumerudi kwenye nchi masikini sana uzuri wetu uko wapi bandari sio yetu tena. Hizo gas zinawenyewe mkataba ambao wanatafuta rushwa ni wa kujenga kiwanda lakini gas sio zetu ni za wavumbuzi. Madini ya Rostam sasa tumebaki na nini?
 
Hivo vyote umeweka hapo tiyari vina wenyewe, na siyo watanzania. Watanzania wanavuna vumbi tu hapo..
 
Huu ni mtazamo wangu binafsi...

Mtu yeyote wa rika lolote mwenye elimu ya juu au chini, nikimsikia anatumia mifano ya wanyama au masuala ya ndoa kuhalalisha mambo yanayopaswa kufanywa na binadamu mwenye akili timami.... huwa namdharau sana. 🤔
 
Yote hayo si ameshawapa Waarabu.

Kwani juzi tulikuwana mbwembwe nyingi mapicha, video kupokea msaada wa gari mbili kutoka UAE?
 
Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi,

List ya urembo wa mama Tanzania,
1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc

2. KIFUA CHUCHU SAA SITA: GAS, LNG, HELLIUM GAS , MAFUTA YAMEGUNDULIWA JUZI,

3. WOWO LA TANZANIA KIUNO NYIGU:
Bandari Tanga, Bagamoyo , Dar es salaaam , Kilwa , Mtwara , KASANGA, KIGOMA, MBABA BAY, KYELA, MWANZA, MUSOMA, BUKOBA

4. GUU LA BIA : Mto Kilombero, mto Ruaha, mto Rufiji, mto Malagarasi, mto Ruvuma, mto Pangani, mto Musoma ardhi tamu hekta milioni 44

NJOONI BILA POVU
TAtizo mna akili na kumbukumbu kama kuku Tena Yale machotora majinga

Juzi rasilimali ni chache
Leo rasilimali ni nyingi

Juzi tunahitaji mikopo ya mabeberu
Leo hutuhitaji

Mlivyo wapuuzi mmetengeneza maadui wa ndani na nje Kwa wakati mmoja

Kwa hiyo mabeberu ndo waliwaambia muue raia wenu ambao hawana silaha
 
hivi nyie mnaokaa upande wa huyo rais haramu kuna faida gani kubwa huwa mnapata wenzetu?
 
Leo mama umenena , ni kweli Tanzania ni nchi Tajiri sana tena sanaaaaaaaaaaaa nimefurahi leo umewachana washenzi wanaofadhili ushenzi,

List ya urembo wa mama Tanzania,
1. SURA: Diamond, Gold, , Tanzanite, makaa ya mawe, Graphite, Chuma liganga, Nickel kabanga etc

2. KIFUA CHUCHU SAA SITA: GAS, LNG, HELLIUM GAS , MAFUTA YAMEGUNDULIWA JUZI,

3. WOWO LA TANZANIA KIUNO NYIGU:
Bandari Tanga, Bagamoyo , Dar es salaaam , Kilwa , Mtwara , KASANGA, KIGOMA, MBABA BAY, KYELA, MWANZA, MUSOMA, BUKOBA

4. GUU LA BIA : Mto Kilombero, mto Ruaha, mto Rufiji, mto Malagarasi, mto Ruvuma, mto Pangani, mto Musoma ardhi tamu hekta milioni 44

NJOONI BILA POVU
Hizi porojo kawaambie wazea au washamba wa vijijini wasiojua lolote.
 
Mbona haachi usiku kucha kutembeza bakuri , CCM walishauza kila kitu sio gas wala bandari au dhahabu,hatuna kitu ndio maana tunakopa kila siku
 
Back
Top Bottom