Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
- Thread starter
- #41
Mhhhhhhhh yupi sasaMzuri zaidi ni yule unaemuwaza kichwani ambaye Mungu hajamuumba bado
Mhhhhhhhh yupi sasaMzuri zaidi ni yule unaemuwaza kichwani ambaye Mungu hajamuumba bado
Yule ambaye ukimpata atakuheshimu sana, hatachepuka, atakuwa anakusikiliza, hatakuletea kiburi kabsa, yani full raha hakuna stressMhhhhhhhh yupi sasa
Labda umuumbe mwenyeweYule ambaye ukimpata atakuheshimu sana, hatachepuka, atakuwa anakusikiliza, hatakuletea kiburi kabsa, yani full raha hakuna stress
Ndiyo Maana Mungu hajaumba Wastaili hioLabda umuumbe mwenyewe
Sasa mkuu ,mimi sizungumzii wanafiki, wafanyao ujinga alafu siku za ibada wanajitia watakatifu sanaaa, nawaivo hata akiniigizia mimi nitamjua tuuu nabado nitaachana naye tu hamna namna.
Chapombe baba, chapombe mama...watoto watakuaje ??? Mchungwa utazaa machungwa ...unakuta familia wazaz wote ni chapombe ,basi izo vuruguuuu .
Mimi hapana kwakweli, ndomaana nmesema waivo kwangu nikusogeza siku, and yes Mwanamke ukiwa mnywa pombe ,alafu ikatokea tumekua wote, nikajua unakunywa ,naww ukajua nmekujua, alafu ukawa huna jitahada za kuacha.... My dear kuna mawili
Ujishtukie tu uendelee na laifu lako
Au ubaki nikutumie tutumiane, baadae nikutumie kama ushuhuda siku nikiwa nafunga ndoa na binti wawatu mpendwa.
loh
Nakazia mkuu.
Ila mwanamke mlevi mtihani kweli walau awe anakunywa Mara chache chacheNakazia mkuu.
Nizaidi ya mtihani ..na wanaliwa mnoo !! Alafu ndo ukute ana hulika ya wanaume .....anakuua kabla ya siku zako...Ila mwanamke mlevi mtihani kweli walau awe anakunywa Mara chache chache
Mungu atusaidie kwa kweli !Nizaidi ya mtihani ..na wanaliwa mnoo !! Alafu ndo ukute ana hulika ya wanaume .....anakuua kabla ya siku zako...
Unajua its true that,love is not all about kumtafuta a Perfect one ....ila kiukweli ukitaka kufurahia maisha ya mahusiani. Nilazima uhakikisha hata km hajakamilika basi jitahidi kupunguza athar za uharibifu ..angalau awe anauelekea ukamilifu .Mungu atusaidie kwa kweli !



.
Mhhhhh mwanamke anayekunywa pombe mimi na yeye mbali mbaliUnajua its true that,love is not all about kumtafuta a Perfect one ....ila kiukweli ukitaka kufurahia maisha ya mahusiani. Nilazima uhakikisha hata km hajakamilika basi jitahidi kupunguza athar za uharibifu ..angalau awe anauelekea ukamilifu .
Ila hii zoa zoa ,utaja leta uzi humu ukisema "" Msaada wenu wadau mpenzi angu amenisalit , nambaya amekiri nisababu ya pombe".
Nawana JF walivyo naroho mbaya, wanakuambia ,msamehe tu kama amekiri.
Naww ulivyojinga, unasamehe kosa, bila kujua km ameacha kilichomfanya akusalit hahaha wanaume bana ,are so weak.
Maneno ya kweli lkn siku hizi utakutana mdada anajifanya kunena kwa lugha ukishamweka ndani baada ya miaka kadhaa utaona anakushawishi , 'hebu tukae na huyu kijana tumsaidie' ukifuatilia utakuta alimzaa kitambo ni mwanae.Mwanamke mzuri ni yule aliye na vishawishi kwa mumewe mbele za Mungu.sio yule mwenye ushawishi mkubwa kwa mumewe kuhusu kutopitwa na fashion na mambo ya kidunia.kwani itamfaa nini mtu kupata kila kitu cha dunia na kukosa ufalme wa Mungu?
Ninyi mliokutana na kupendana kwa jina la Bwana hakika hakuna binadamu awezae kuwagombanisha mkisimama katika imani. Kwani Bwana alisema "wakutanapo wawili kwa jina langu,basi mimi ni kati kati yao" Maana ya upendo katika Bwana ni nini?
Pale mmoja anaposhindwa na majaribu na kuanguka,mwingine awe tayari kwa kufunga na kuomba kwa ajili ya mwenzie.Hapo ndipo mtakapojua nini maana ya Mungu asiyeshindwa na kitu.
Kwa kweli wanaume tuna mateso siyo mchezo kabisaManeno ya kweli lkn siku hizi utakutana mdada anajifanya kunena kwa lugha ukishamweka ndani baada ya miaka kadhaa utaona anakushawishi , 'hebu tukae na huyu kijana tumsaidie' ukifuatilia utakuta alimzaa kitambo ni mwanae.
"MUNGU ATUPE MACHO YA ROHONI ILI TUWEZE KUONA WASANII NA KUWAKIMBIA"
Kweli chiefSawa kabisa,kuishi sawa na mapenzi ya Mungu kuna faraja sana kwenye ndoa..
Unajua its true that,love is not all about kumtafuta a Perfect one ....ila kiukweli ukitaka kufurahia maisha ya mahusiani. Nilazima uhakikisha hata km hajakamilika basi jitahidi kupunguza athar za uharibifu ..angalau awe anauelekea ukamilifu .
Ila hii zoa zoa ,utaja leta uzi humu ukisema "" Msaada wenu wadau mpenzi angu amenisalit , nambaya amekiri nisababu ya pombe".
Nawana JF walivyo naroho mbaya, wanakuambia ,msamehe tu kama amekiri.
Naww ulivyojinga, unasamehe kosa, bila kujua km ameacha kilichomfanya akusalit hahaha wanaume bana ,are so weak.
msamehe tu na wasamehe kirahisi hvyo