Sasa mkuu ,mimi sizungumzii wanafiki, wafanyao ujinga alafu siku za ibada wanajitia watakatifu sanaaa, nawaivo hata akiniigizia mimi nitamjua tuuu nabado nitaachana naye tu hamna namna.
Chapombe baba, chapombe mama...watoto watakuaje ??? Mchungwa utazaa machungwa ...unakuta familia wazaz wote ni chapombe ,basi izo vuruguuuu .
Mimi hapana kwakweli, ndomaana nmesema waivo kwangu nikusogeza siku, and yes Mwanamke ukiwa mnywa pombe ,alafu ikatokea tumekua wote, nikajua unakunywa ,naww ukajua nmekujua, alafu ukawa huna jitahada za kuacha.... My dear kuna mawili
Ujishtukie tu uendelee na laifu lako
Au ubaki nikutumie tutumiane, baadae nikutumie kama ushuhuda siku nikiwa nafunga ndoa na binti wawatu mpendwa.