Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
Kwanini mwanamke tu??
Does it mean kuwa unatafuta mwanamke wa kukulea?
Mmh? Sikuelewi. Unatafuta maisha au mwanamke? Ebu soma kwanza hayo mengine utayakuta duniani.
Tongozo ya kisasa hii
unahitaji kuhurumiwa!!!kuhurumiwa si ni sawa na kubebwa!!!Binafsi naamini kuwa mwanamke ana huruma sana zaidi ya mwanaume hivyo mwanamke anauwezo wa kunisaidia kwa haraka tofauti na mwanaume mwenzangu. Mwanaume atasema "mwache akomae, Si wenyewe tulihangaika bwana". Kikubwa ni hicho rafiki sifikirii kulelewa kikubwa natengeza channel ya kufahamiana na watu wengi zaidi
Nashauri Heading ingekuwa....JIMAMA LATAFUTWA.....
We unadanganya eti unasoma. Unasoma nini kama hujitambui na kutambua kuwa huyo unayemtafuta kukufuga anaweza kuwa tatizo kuliko hayo matatizo madogo yanayotaka kukuingiza mtoni? Jitegemee badala ya kutafuta kula na kulala bure.
unahitaji kuhurumiwa!!!kuhurumiwa si ni sawa na kubebwa!!!
na kama ni kwa mema tu kwa nini u-specify umri!kama unaamini wanawake wanaweza kukusaidia zaidi kwa nini usipanue wigo!!kuna wenye kuona huruma hata chini ya 35 year!
kumbuka kuna mashoga humu ndani
kwa mwanamke wa umri huo kwangu sio jimama, sijui kwako.
Kwa jinsi inavyo onyesha kijana utakuwa na busara sana, i like you. Ningekuwa na umri huo ningekutafuta
Siku zote mwanaume ni lazima ugangamae. Hizi tabia unazoonyesha za kutaka kuonewa onewa huruma siyo za kiume!!Binafsi naamini kuwa mwanamke ana huruma sana zaidi ya mwanaume hivyo mwanamke anauwezo wa kunisaidia kwa haraka tofauti na mwanaume mwenzangu. Mwanaume atasema "mwache akomae, Si wenyewe tulihangaika bwana". Kikubwa ni hicho rafiki sifikirii kulelewa kikubwa natengeza channel ya kufahamiana na watu wengi zaidi