mkemiamkuu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 355
- 284
Habari ndugu, nipo serious kwa hili. Nahitaji mwanamke aliyekwisha zaa ili nimuoe. Watoto wasizidi wawili maana nami nina watoto wawili tayari. Please kwa aliye serious ani pm
Daaaaa Flora nahisi tutakuwa na watoto wengi
I have only one girl
kila la heri bwaa , naamini sehemu yoyote yenye watu kama humu ni meeting point
Njoo pm
hahahaha yeuwii sitaki kuongeaza mwingine