Lakini pia sio kiunganishi. Kuna waliobeba mimba ili waunganishwe na haikuwa hivyo...na haijawa.
Hata sielewi mkuu...
ndo inabidi tuwaelimishe sasa na nyie muwe mifano kwa ma ex wenu ili dhana hii ifewana mawazo ya mgando hao
duh wamekukatisha tamaa kabisa mkuu. anyway, wanasema wengi wape? all the best...
ndo inabidi tuwaelimishe sasa na nyie muwe mifano kwa ma ex wenu ili dhana hii ife
kwa sisi tuliufuta kidogo umande tunasema hapo wame commit fallacy kwa kufanya hasty generalization.yeah kweli kweli maana scenarios chache zinakuwa generalized to the entire popn ya waliozaa kisha wakatemana
Wakuu salaam.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume hajafa..na mtoto pia yupo ila yupo kwa baba yake?
NB: Mwanamke anasema kwa mwanaume huyo hakuna future na sio mtu ambaye anaweza kuishi naye. Anafanya mpango wa kumchukua mwanae na ikishindikana basi atamuacha huko..akiwa mkubwa atatamtafuta. Mpaka sasa watu wa upande wa baba wa mtoto hawataki mtoto achukuliwe.
kwa sisi tuliufuta kidogo umande tunasema hapo wame commit fallacy kwa kufanya hasty generalization.
usijihakikishie mambo ambayo hayana vipimo kisayansi!!!!!!
hehehe unatuharibia kisw nilisomaga ndo nini???,inaitwa critical thinking....umenikipusha kozi fulani ya Philosopy nilisomaga zaman fulani hivi
Iwe kwa mwanamke au mwanaume mfano wake ni kujiuliza:
Kuna shida kununua gari used?
hehehe unatuharibia kisw nilisomaga ndo nini???,inaitwa critical thinking....