M.E.M.A
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 1,373
- 472
Wakuu salaam
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume hajafa,na mtoto pia yupo ila yupo kwa baba yake?
NB: Mwanamke anasema kwa mwanaume huyo hakuna future na sio mtu ambaye anaweza kuishi naye. Anafanya mpango wa kumchukua mwanae na ikishindikana basi atamuacha huko,akiwa mkubwa atatamtafuta.
Mpaka sasa watu wa upande wa baba wa mtoto hawataki mtoto achukuliwe.