Habar yako bila kapicha hainogiMwanamke mwenye ndevu kuliko wote Duniani akitabasamu kwa amani kabisa.
Hivi huyu hana genes za Kiume Kweli?
Mmhhhh!!!Shoga huyo
Demu ni demu...tena ukute yupo na jamaa yake kabisa
Unaoneka mzuri kma mwandiko wakoMmhhhh!!!
Duh!!!Mtu mwenye akili timamu anafila mwanamme mwenzake sembuse huyu? Tena huyu atashughulikiwa huku akichezewa ndevu zake mpaka ataona raha na kamwe hatozikata.