Mwanamke Muislam anahitajika

Mwanamke Muislam anahitajika

tupo busy tunatafuta mtoto... akifanikisha atarudi tu, mpe miezi tisa hivi!!!

wow.... Mafikizolo habar mpya hii kwangu hebu uje uthibitishe hili kwanza mana dah mie najifungua sooooon niweze kukuchangia nepi
 
Last edited by a moderator:
Hii Imenchekesha Kweli. Jamaa Katangaza Tangazo Lake Wadau Ndo Kwanza Wana Storika Ad Wamesahau Em Wapen Nafasi Walengwa Watiririke Na Tangazo Lao
 
Natafuta mwanamke Muislam wa kuanza nae uchumba,Mimi ni kijana mwenye umri 22,nafanyakazi serikalini na sina mtoto.

Sifa za ninae muhitaji:

-Awe Muislam.
-Awe ajazaa.
-Umri 18-22.
-Elimu kuanzia IV na kuendelea.
-Awe ameajiriwa au amejiajiri zingatio please
Awe mcha Mungu.
-kabila lolote


Mwenye hizo sifa anaweza akantafuta kupitia mawasiliano haya hapa.


ismailymahmoud@gmail.com

Asanteni.

Unatumia vifuniko kutafuta mchumba utakutana na dada zako humu
 
Hivi hao baba na.mama zenu walitafutana vipi???enzi hizo paspokua na.mitandao ya kijamii kama hii wala hizo simu??
Sasa naanza kupata majibu kwa ndoa za zamani zimedumu mpaka.leo ila za siku hizi ni majanga!!
 
Back
Top Bottom