Mwanamke mtoa mimba na Mwanaume mpiga punyeto nani ni muuaji hasa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Kichwa cha habari kimejitosheleza kabisa hivyo karibuni tu mtiririke. Nataka tu kujua nani ana dhambi kubwa na anastahili kuuwawa / kunyongwa au kufungwa maisha kwa kosa la mauaji ya kimakusudi na ya kukusudia?

Karibuni.
 
Kwani wewe hujawahi kupiga punyeto? Basi utakuwa na matatizo. Asiliamia 99.9% ya Wanaume wote wamewahi kupiga punyeto wakati wa makuzi ya kubalehe.

Kwahiyo automatically Wanaume wote ni WAUAJI? Basi tukatubu Makanisani na Misikitini upesi na haraka sana.
 
bao moja la puli lina mbegu milioni 100,ukipiga puli mara mbili kwa mwezi umeua watu milioni 200,kwa mwaka watu bilion 2 hata hitler hajawahi kuua watu hivi
 
Mimba ni kiumbe. Mimba hutokana na muungano wa mbegu ya kiume na mbegu ya kike. Sasa ukilinganisha mimba na mbegu moja tu ya kiume naona hujajua unachokisema.
Kama shahawa ni uhai basi wamama wanaua watoto wengi sana kwani kila mwezi wana yai moja linalokosa kutungwa (Fertilization) na kupasuka na kutoka kama damu. Sasa huyo kivyako si wa kushitaki kuwa aliacha yai lake lioze bila kulifanya likomae na kuwa mimba?
Usilinganishe Punyeto na mimba aisee
 
bao moja la puli lina mbegu milioni 100,ukipiga puli mara mbili kwa mwezi umeua watu milioni 200,kwa mwaka watu bilion 2 hata hitler hajawahi kuua watu hivi

Mkuu uko vizuri kweli KIUCHAMBUZI wa hii kitu bila shaka na Wewe ni PURI master na muuaji. Katubu upesi!
 
Ningekuwa Karibu na mleta thread ningempasua risas ya kichwa puli ni mali ghafi inayotengenezea mimba! puli haijaaramishwa ila utoaji mimba inapigwa hadi kwenye vitabu vya kidini!
 
Unazidiwa na mhemko lakini Mkuu ile kupizi nje si ndiyo kuua Viongozi wetu wa baadae na Watu muhimu na tegemezi kwa taifa letu?
Abortion kuna nyakati is the only available(best) option (inahitaji uzi wake). Huko ku"pizi" ni kwamba mbegu za kiume zinapotelea mbali kama ambavyo mwanaume angetumia condom au angejamiiana na mwanamke ambae siku zake ziko "safe"...au hata ile wanaita kumwaga nje; Meaning - Mimba haitatunga katika njia zote hizi nne. Abortion - ni kutoa uhai ili hilo lingine linahusisha kutoa "mbegu"
 
Back
Top Bottom