Inategemea na uliye nae kwenye ndoa mwanaume kama wew lazima ndoa kwangu iwe zaidi ya SubiriKama ni utumwa we baki single tu. Ndoa usiitake kabisa maana ina changamoto sana japo ni tamu na inaleta hadhi na heshima ukiwa nayo!
Ni kweli tumsubirie, ila akija kuelewa atakua kila wakati wa kulala anahakikisha anamkagua abdalah kipara wake kama ajaingia shimoni kwenye mizunguko yake ya kutwa, na uteja wa wauza makufuli utapungua. Ataelewa ni kwa nini mwenye nyumba akiwepo mlangoni halihitajiki kufuli..[emoji847][emoji847][emoji847]Binti bado hajapevuka.
AiseeNi kweli tumsubirie, ila akija kuelewa atakua kila wakati wa kulala anahakikisha anamkagua abdalah kipara wake kama ajaingia shimoni kwenye mizunguko yake ya kutwa, na uteja wa wauza makufuli utapungua. Ataelewa ni kwa nini mwenye nyumba akiwepo mlangoni halihitajiki kufuli..[emoji847][emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema hujaolewa mkuu hapa si tunabishana kwa hoja tu madam. Binafsi siwezi fanya hivyo japo nina haki hio ya kumfanya mke wangu kadri navyojiskia hamu. Busara tu ndio nayotumia mara nyingi.Umejuaje kama sijaolewa mkuu? Ndoa ni zaidi ya tendo yaani hata mkeo akiwa kwenye usingizi mzito unampanda kama farasi kisingizio umeoa naludia tena huo ni Utumwa
Tatizo mwenye nyumba awapo around, huwezi jua muda gani atahitaji kuingia ndani..[emoji848][emoji848]Aisee
Tatizo ni incompatibility issues, unaweza kuwa na low sex drive mumeo akawa na high sex drive. Hii ipo sana kwenye jamii, unakuta wanaume wanaongoza kwa kupenda sex kila wakati ila mwanamke hana hisia za mara kwa mara.Inategemea na uliye nae kwenye ndoa mwanaume kama wew lazima ndoa kwangu iwe zaidi ya Subiri
Sijaona sababu za mtu kuoa wala kuolewa kama kuna masharti kwenye tendo....mda wowote mwanaume akitaka lazima apewe...ndo maana kaoa...ulipochukua mahali ulikubali hilo...Huo ni Utumwa wa ndoa.
Wew hata ndoa huna UsinichosheTatizo mwenye nyumba awapo around, huwezi jua muda gani atahitaji kuingia ndani..[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie binafsi sio mpenzi sana wa hio kitu, naitumia mara chache sana ila ninapoihitaji sitakagi usumbufu. Na wala sifanyagi kwa komoa, nkipiga zangu 2-3 za kitajiri nmetosheka hapi naeza kukacha hata week nzima ukawa unalala raha mustarehe, ila ukileta uvivu unatoa kimoko tu utakula mashine kila baada ya siku 1 hadi ujute kuolewa maana hamu haiishi yote.Inategemea na uliye nae kwenye ndoa mwanaume kama wew lazima ndoa kwangu iwe zaidi ya Subiri
Mmekuwa wagumu kuelewa sijakataa tendo la ndoa bali nakataa neno LAZIMASijaona sababu za mtu kuoa wala kuolewa kama kuna masharti kwenye tendo....mda wowote mwanaume akitaka lazima apewe...ndo maana kaoa...ulipochukua mahali ulikubali hilo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana unapenda sana kwichi ww😄😄😄Mie binafsi sio mpenzi sana wa hio kitu, naitumia mara chache sana ila ninapoihitaji sitakagi usumbufu. Na wala sifanyagi kwa komoa, nkipiga zangu 2-3 za kitajiri nmetosheka hapi naeza kukacha hata week nzima ukawa unalala raha mustarehe, ila ukileta uvivu unatoa kimoko tu utakula mashine kila baada ya siku 1 hadi ujute kuolewa maana hamu haiishi yote.
kwa michepuko yako!Sijaona sababu za mtu kuoa wala kuolewa kama kuna masharti kwenye tendo....mda wowote mwanaume akitaka lazima apewe...ndo maana kaoa...ulipochukua mahali ulikubali hilo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni muongeaji tu ila personality yangu ni tofauti mankaa, wala sio mtu wa hizo vitu kivile sema siku nikiwa na hamu lazma mke anipatie nitosheke.Unaonekana unapenda sana kwichi ww😄😄😄
Hapa mimi nitoe sio mvuviMavivu sana
Usiwe unamkomoa wifi yangu aiseeMi ni muongeaji tu ila personality yangu ni tofauti mankaa, wala sio mtu wa hizo vitu kivile sema siku nikiwa na hamu lazma mke anipatie nitosheke.
Sasa mbona unalialia kudai sio lazima wakati umeolewa mankaa. Hio kitu lazma itumike vizuri kwa watu walioko busy sio demanding sana ila siku ukiimisi unataka uipate vyema bila kero mara oh nimechoka sijui bla bla.Hapa mimi nitoe sio mvuvi
Nahisi utakua miomgoni mwaoNimekumbuka hii nyimbo
Ila wapo wanawake wengi warembo na kitandani wako vizuri pia [emoji2][emoji2]
Mkuu umeshinda nimekuelewaSasa mbona unalialia kudai sio lazima wakati umeolewa mankaa. Hio kitu lazma itumike vizuri kwa watu walioko busy sio demanding sana ila siku ukiimisi unataka uipate vyema bila kero mara oh nimechoka sijui bla bla.
Sasa chukulia mfano mtu unalala na kuamka nae anapiga gemu moja tu kwa week nzima tena bao moja la fasta tu kupunguza sumu mwilini unaanza kumletea lawama oh nimechoka sjui hivi kweli we utakuwa mwanamke wa aina gani kama sio mzigo ndoani? Yani goli moja tena unajitahidi liwe la kitajiri maanabunajua mke hawezi himili stamina mode bado still analialia.
Usiwe unamkomoa wifi yangu aisee