Fumbo Khan
Member
- Dec 1, 2020
- 5
- 9
Hahha ndo dawa yao eeeh...ukizama hawaibuki...ila wadau utawajua tuuUkiangalia mdomo wa jamaa vizuri ni mzama chumvini maarufu!
Dada hajajiua bure
Bongo hata ufanye je hawajiuiiiKabla hata ya kufungia uzi nilijua tu haiwezi ikawa bongo
Kuna mdau anasema jamaa alikua mwenyeji wa uvinza akiwa mtaalam wa chumvini...ndo maana manz kashindwa kuvumiliaHayanaga wenyewe
Hahahaha... Kwanini mkuu?Kabla hata ya kufungia uzi nilijua tu haiwezi ikawa bongo
NILIGUNDUA KUWA UVINZA KUNA WAFANYA MADADA WAWE MACHIZI, ANAWEZA KUNYWA SUMU AISEEKuna mdau anasema jamaa alikua mwenyeji wa uvinza akiwa mtaalam wa chumvini...ndo maana manz kashindwa kuvumilia