Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

Mwanamke mjane anataka nimpe raha, je nimpe?

kuwota

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
79
Reaction score
28
Wadau habari za wakati huu?

Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.

Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini, mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana, wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu, japo mume sikuwa nae karibu zaidi ya tuu ni baba mwenye nyumba wangu, ila mkewe alikuwa mkarimu sana kwangu.

Imepita miaka kadhaa tangu nihame pale nakuja kutana na huyo dada, ananipa taarifa mumewe alifariki na ndugu wa mume walimfukuza kutoka katika nyumba hiyo kwani kumbe ilikuwa ni ya urithi. Tumekuwa na mawasiliano ya karibu ya simu kama mtu na shemejie.

Wakuu tatizo huyu bibie anataka nimpe raha, huku akijua fika sitamuoa kwani nina familia. Nipo njia panda nimle au nimpotezee? Je nikimla alafu nikamuacha nitakuwa nimemsaidia kumpunguzia ukame au nitamuumiza?

Ushauri tafadhali
 
Wadau habari za wakati huu? Naomba ushauri kuna jambo linanitatiza.
Miaka kadhaa iliyopita nilipanga nyumba moja hivi hapa mjini.mwenye nyumba ile alikuwa ni rika langu na mkewe pia yaani vijana,wakati huo wao wana mtoto mmoja. Niliishi nao vizuri tuu,japo mume sikuwa nae Karibu zaidi ya tuu ni baba mwenye nyumba wangu,ila mkewe alikuwa mkarimu sana kwangu.imepita miaka kadhaa tangu nihame pale nakuja kutana na huyo dada,ananipa taarifa mumewe alifariki na ndugu wa mume walimfukuza kutoka katika nyumba hiyo kwani kumbe ilikuwa ni ya urithi. Tumekuwa na mawasiliano ya Karibu ya simu kama mtu na shemejie.wakuu tatizo huyu bibie anataka nimpe raha, huku akijua fika sitamuoa kwani nina familia. Nipo njia panda nimle au nimpotezee?je nikimla afu nikamuacha nitakuwa nimemsaidia kumpunguzia ukame au nitamuumiza?
Ushauri tafadhali
Kula faster..., wanawake watu wazima wanapenda privacy yao ..

Kumbuka alishazoea kutafunwa mara 2,3 kwa wiki.., kwa raha zake.. Sasa angefurahi kama heshima yake ikatunzwa kama mama, Shemeji kule ukweni.., mpaka atakapopata kitu ya kudumu..

Mtafune ila umwambie ukweli kua huwezi kudumu nae, usinogewe ukanasa hapo..., ila umsaidie kupata baba mwingine ili aendelee na maisha yake..
 
baba ogopa onja onja, wahenga walisema aonjae Asali huchonga mzinga. usijeleta balaa kwenye ndoa yako yashinde majaribu hayo!
 
1 KOR. :6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Sijui kwanini Mungu alisema zinaa ikimbiwe ila tii tu mkuu achana naye huwezi jua mumewe alikufa kwanini
 
plz hayo matatizo nimesomea naomba namba ya huyo dada kwanza
 
1 KOR. :6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

Sijui kwanini Mungu alisema zinaa ikimbiwe ila tii tu mkuu achana naye huwezi jua mumewe alikufa kwanini
Ujumbe umepenya
 
Back
Top Bottom