Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Khaaa wifi we kila siku wala ugali?
Hahahahah daughter....mi mama yako sina kaumbo hako ila mbona watu huwa wanasema nna mdomo? Huwa wananisingizia aisee
Shemeji yako ndo anapenda ugali hadi kaniambukiza na mie halafu si unajua ni nature yetu sie wasukuma kupenda ugali?
Najua wifi na kaka yako anapenda ugali kama nini
Ndo kawaida yetu my wii tuzoee tu.Msalimie sana kaka yangu
mummy kweli wanakusingizia loh...
nimeshangaa tu mwanzoni niliona wanawake wanaochangia wote warefu
Zimefika wii...msalimie shemeji
Alafu huyu Eli79 ???????
Sie wote warefu ....kama we mfupi peke yako
hahahaaaaaa uuwiiii nimecheka sana mummy wangu loh nashukuru kwa kunifanya nilale kwa tabasamu
penda sana wewe!
Penda mama yako tu Mie baba yako wala?
Penda mama yako tu Mie baba yako wala?
tatizo baba umenitenga sana mwanao, huwa namwambia mummy akusalimie sasa sijui salamu huwa zinaishia njiani!!!
Huu ni wivu ama...??