Mwanamke mfupi mwembaba vs mrefu mnene

Wanawake wanene wana sifa ya umalaya sana, wanatembeza papuhi balaa!
 
Aisee ni kweli.sio wanawake tuu na wanaume pia.wapo kama wana inferior complex.yani wanajua kujidefend kwa maneno kama chiriku.kwa uzururaji hapo kweli.cha kuongezea pia wanawivu na mashindano kwenye kila kitu.

Hahahahaaaaaa ..........!!!!!!!!!!!!
 
hapa leo kila mwanamke atakuwa mrefu.
haya mazuri yetu ni yapi sie wafupi?

Hahahahah daughter....mi mama yako sina kaumbo hako ila mbona watu huwa wanasema nna mdomo? Huwa wananisingizia aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…