Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,980
''Channel kutoka BBC kwenda Deutche Welle
sijazoea kushikwa huko,,,Sasa ushikwe Pua au?
Yaani nikurupuke tu,bila Maandalizi, nakurukia kama nadandia Bajaj...kweli?
Mmeo/Boyfriend anakalishwa chali kama anasubiri Oparesheni ya Appendix
Mapenzi yako yana masharti kama Dokta Manyaunyau
mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi Mabatini
MWANAMKE UMENISIKIA?MASHARTI ZIACHIE FOMU ZA MKOPO WA BENKI''
mama la mama Kweli we kiboko... nimecheka hadi mbavu zinaniuma walahi... Hinhinhiiiii