Mwanamke Masharti ziachie form za mikopo benki

Mwanamke Masharti ziachie form za mikopo benki

mama la mama

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
304
Reaction score
152
Wanawake wamekuwa Mabingwa sana wa kulaumu Wanaume kwanini wanacheat sana..Na wanaamini kwamba Wanaume hawana Reason ya Kucheat maana wao wanadhani wamefanya yoteeee,sasa kwanini jamaa acheat?

Leo naleta kwenu Aina ya Wanawake ambao wao wenyewe kwa hiari,wanafanya mambo ambayo ni Greenlight kwa Mwanaume kucheat...

MASHARTI KIBAO KAMA FOMU YA MKOPO

Hawa wanawake wana misimamo yao ambayo sijui wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au lah...Inapokuja suala la Bed Business,UTACHOKA! Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sarakasi si Sarakasi,ilimradi kero....Hataki umguse hiki...ukimgusa kile hataki,ye anataka kipondo alale....Mapenzi ni sanaa...Mapenzi ni Sayansi...Mapenzi ni maelewano ya wewe na yeye,anapenda nini,unapenda nini,maadam haombi kubadili Channel kutoka BBC kwenda Deutche Welle(Kula Tigo) sioni kitu ambacho ni kibaya kitandani...

Sasa utaambiwa Mate ni Uchafu....Ukimshika nanihii ili umuandae awe Wet vizuri(na hii ni recommended kiafya kuepuka Unnecessary Friction wakati wa tendo), HATAKI,eti sijazoea kushikwa huko,,,Sasa ushikwe Pua au?

Hataki kunyonywa(japo raha ni ya kwake)...Hataki kunyonya(BJ) eti ni uzungu na uchafu....Sasa ndugu zangu,haya ni Mapenzi au wazimu?Yaani nikurupuke tu,bila Maandalizi,bila kujua you are wet enough or not,nakurukia kama nadandia Bajaj...kweli?

Sasa Mwanaume huyu akikamatwa na kitoto kinachojua umuhimu wa Maandalizi,kikampa makamuzi,Mmeo/Boyfriend anakalishwa chali kama anasubiri Oparesheni ya Appendix,anashughulikiwa,akija kupewa mzigo You think huyu Mwanaume atakuwa na time na wewe?Muwe mnawaza...

Mapenzi sio Biashara ya Usafi,kama unadhani Mahaba yana usafi umekosea njia,hakuna Biashara ya Uchafu kama Mapenzi,ila Uchafu wenye raha...

Ukiwa penzini huna tofauti na Chizi,akifika jalalani hachambui hiki nini na kile nini...Maadam kinalika basi ndo anaponea hapo...

Kama Mapenzi yako yana masharti kama Dokta Manyaunyau,tafadhali tafuta biashara nyingine ya kufanya,hii ushafeli...

WAZEE WA MUDA

Hawa ni mabingwa wa kuhesabu dakika....Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu huchoki....We mwanaume robo saa si tayari unanikomoa??Nani akukomoe wewe!!
We Mwanaume hiyo ndo style gani....
Nani kakufundisha hii mbona hatujawahi kufanya.....

Sasa haya Mapenzi au Interview?

Yaani muda wote mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi Mabatini,sasa raha utasikia saa ngapi?Mwanaume anajipinda ili akufikishe wewe umekazana na Questionnaire yako....Mara kidogo filimbi hiyo.....utasikia Maliza bwana mi nimechoka..Yaani kauliza maswali weeee,halafu anakwambia Maliza....Dah,ukute we ndo kwanza uko Chalinze,unaambiwa maliza,sasa sijui utafika Ubungo Stendi na Ungo....Kwakweli,kama uko hivi,sishangai Mmeo akicheat,kosa ni lako mwenyewe!

MWANAMKE UMENISIKIA?MASHARTI ZIACHIE FOMU ZA MKOPO WA BENKI
 
wacha niwapishe wanawake hapa sihusiki.
 
Hahahha hvi haya yapo,mtu unampenda af unamtimua hvo,poleni jmn
 
si mchezo naona mama la mama umetuamulia ngoja waje walio dabo dabo me hapa sihusiki
 
Last edited by a moderator:
Ila kuna wanaume wengine unakuta hajui kusex anafanya mapenzi kama anashurubisha vile

looh wa hivo nakwambia tu umemaliza ili kuishana ya nini kujifanya unaenjoy wakati huenjoy aku
 
Ha ha ha JF ni kiboko..Haombi kubadili chanel toka BBC kwenda DW lol.Ila bora umewafikishia ujumbe wanawake.
 
Na wababa wakinyimba zinakuwa fomu za fomu wani?
 
mama la mama ,
Nasikia wapo wanawake ambao huwa hawana kabisa"feeling" ya sex, pengine ndo hao wenye maswali mengi wakati wa sex kama "OCD wa Mabatini"...
 
Back
Top Bottom