Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Lisemwalo lipo aisee!!! wenyewe wanasemaga eti figa moja halisimamishi chungu... " kama ni uongo we unadhani huo msemo umetoka wap?"Habari wana MMU..
Inaaminika kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu....
wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo matatu ni ishara ya wanaume watatu, yaani MUME, HAWARA MPYA na BWANA WA ZAMANI. lakini pia wapo wanaodai kwamba mafiga hayo matatu ina maana ya kuolewa mara tatu katika maisha yake. Hii ikiwa na maana kwamba, mwanamke wa kizaramo ni lazima aolewe na kuachwa mara tatu maishani mwake.!!!!
naombeni kufahamishwa juu ya uwepo wa hii dhana ya mafiga matatu katika ndoa za kizaramo!
je kuna ukweli wowote juu ya hili?
je, mabinti wa kizaramo wanapokuwa kule unyagoni huwa wanapewa mafunzo ya aina gani katika kuishi na waume zao?
hii dhana ya kwamba mabinti wa kizaramo ni mcharuko sana imekaaje wadau?
Haya wazaramo maswali yenu haya lol....
bora figa la zamani unakuwa unamega kisela
Lisemwalo lipo aisee!!! wenyewe wanasemaga eti figa moja halisimamishi chungu... " kama ni uongo we unadhani huo msemo umetoka wap?"
Sikumaanisha kuwa ni mzaramo samahani kama nimekukwaza.Basi msaada tutani hebu tupiamo majibu basi.
maana nasikia na vigodoro vinawaharibu sana hawa watu!!
Habari wana MMU..
Inaaminika kwa watu wengi kwamba, wasichana wa Kizaramo wanapowekwa ndani, hufundishwa kwamba, wakiingia kwenye ndoa ni lazima wawe na mafiga matatu....
wanaoamini hivyo wanabainisha kuwa mafiga hayo matatu ni ishara ya wanaume watatu, yaani MUME, HAWARA MPYA na BWANA WA ZAMANI. lakini pia wapo wanaodai kwamba mafiga hayo matatu ina maana ya kuolewa mara tatu katika maisha yake. Hii ikiwa na maana kwamba, mwanamke wa kizaramo ni lazima aolewe na kuachwa mara tatu maishani mwake.!!!!
naombeni kufahamishwa juu ya uwepo wa hii dhana ya mafiga matatu katika ndoa za kizaramo!
je kuna ukweli wowote juu ya hili?
je, mabinti wa kizaramo wanapokuwa kule unyagoni huwa wanapewa mafunzo ya aina gani katika kuishi na waume zao?
hii dhana ya kwamba mabinti wa kizaramo ni mcharuko sana imekaaje wadau?
Sio wazaramo tu! Ndo habari ya mjini kama unajitambua!!!!!!!!!!!

Hey wanaJF nimefanya utafiti kwa kabila la Wazaramo kwamba msichana yeyote wa kizaramo lazima awe na mafiga matatu inamaanagani?nisaidieni!
Alikuwa na nyuzi za kuburudisha.Rip Dena Amsi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Alikuwa na nyuzi za kuburudisha.