Chap Chapa kwani una mkataba na TANESCO? Mafuta yakianza kuchemka tu na kukaribia kuweka muhogo wako ndani ya mafuta basi wanachukua umeme wao (unabaki kulalama na kutukana matusi yote) na kukurudishia umeme wao usiku wa manane wakati uko FOFOFO hahahahahahah