HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,632
sipendi kaabisa mwanamke dependentUna tatizo mwilini wewe!
hakuna kitu kama hicho,huwezi kufanya kazi kalale tuUbahili huo. Toa kitu upate kitu
Una tatizo mwilini wewe!
sio mchepuko,mwanamke ambae upo nae kwenye official relationship lakini mizinga kibao....mm hicho ndo hua kipimo changu cha kwanza kwa mwanamkeWa vimbi, wa lami mchepuko gani fafanua
sio sawa mkuu,niko free lakini suala la kubebeshana mizigo naona sio sahihiUkihongwa wewe sawa?..
Ubahili huo. Toa kitu upate kitu
mwanamke ambae anashindwa kusimama mwenyewe hua wanarudisha maendeleo nyuma sanaKuhonga ni silaha ya wanaume dhaifu
yaani mimi kwangu akishindwa kusimama mwenyewe ni kapuni tuMm kama wewe mkuu yani utadhani mwanaume ni giver tuuuuu. Eti naomba hela ya vocha, weekend hii unaniachaje..duh mbona sisi hatuombi hela kwenu?
mpaka lini sasa...inatakiwa ukiweka kitu mezani na yeye aweke...masuala ya saluni sijui na mambo mengine ya urembo ajihudumie mwenyeweWenzio tunavumiliaga