Mwanamke kuwa na kitambi

Mwanamke kuwa na kitambi

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Mimi nimekulia kijijini usukumani sijawahi kuona mwanamke mwenye kitambi.

Baada ya kuja hapa Dar nilishangaa sana kuona wanawake wenye vitambi.

Ikabidi nianze kufuatilia kwanini wanawake wanavitambi.
1. Pombe hasa beer ndio zinawapa vitambi wanawake.

2. Mwanamke akijifungua huwa anafumgwa tumbo kwa mda fulani lakini sasa hapa mjini hawafungwi.

3. Kazi wanazofanya wengi wenye vitambi ni za kukaa tu. Wanakuwa hawana mazoezi. Kijijini mwanamke anafanya kazi ambazo ni sehemu ya mazoezi.


Ni hayo tu.
 
Na vyakula navyo vinachangia pia
 
Na vyakula navyo vinachangia pia

Tena sana. Wengi wanakula sana chair fire na hatimaye fat inakuwa nyingi. Lakini wakifanya mazoezi fat huyeyuka.
 
wanaume wanavyopata vitamb ni vilevile wanawake wanavyopata!
 
flat screen lakin ana kitambi, yaani utadhani nyuma pamehamia mbele anajisukuma tu
 
Back
Top Bottom