Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Well said... Thanks mkuuMkuuuu aiseee kuishi na mwanamke inahitaki akili ya ziada sana la sivyo utakuwa kila siku unaona unadharaurika au atakuwa anaona unamuonea kwanza jambo la kwanza ninaona kabisa katika hali halisi dada zetu wakileta Asilimia 50% ya 50% till kwenye mapenzi ni kitu ambacho hakiwezekani mwanaume always ni mwanaume ktk mahusiano lkn pia utemi na ubabe mkuu uliopitiliza haufai jaribu kuongea naye in fair way na mkapanga mambo yenu vizuri lkn sasa ukiona analeta dharau au anaamua tuu kila anachooona yy ni sawa bila kukushirikisha ww au anashindana na ww hilo ni jipu mwanamke anayeshindana na mumewe huyo ni hatari hata zaidi ya bangi wanazokula mateja wa tandale coz mwisho wake ni mbaya hakuna mwanaume timamu anayependa kulinda heshima yake kwenye mahusiano atakubali mimi nilishawahi kupata mwanamke kama huyo wako jeuri anashindana na mimi mwanzoni alinipa shida kidogo lkn baaada ya kujua kwamba inabidi kuna some matters niweke misimamo as mwanaume akaanza kunyooka taratibu hapo mkuu cha msingi weka misimamo yako ambayo hautakubali kuyumbishwa lkn PLZ iwe fair isiwe ya kibabe au kikatili mwanamke ukimfanyia ukatili haipendezi.... Lkn msimamo kwa mwanaume muhimu kwa sababu ukiendelea hivyo itafikia hatua hata akikosea utakuwa unaogopa kumwambia tayari hilo litakuwa ni jipu ziko zote naaamini bora kuwa simba kwa siku moja kuliko kondoo maisha yote.
Unaonyesha wewe ni mtawala na sio kiongozi,mwanamke hatawaliki anaongozeka,jitathmini.Habari ya hapa wakuu,
Mimi ninae mchumba ambaye natarajia badae mwakani nimuweke ndani. Tatizo lake ni kushindana na mimi kila kitu nikimwambia usifanye hiki na hiki anafanya ukimuuliza anakujibu "nimejikuta tu nimefanya nisamehe"
Wakati mwingine ukimuuliza anakujibu mbona we umefanya yani ni kiburi kiburi wanawake mpoje?
Badilikeni ukiwa na uhakika wa kuolewa tulia.
Hii ni sawa jamani mwanamke kushindana na mchumba wako?
Asante sana mkuuUkiona manzi wako ana ujasiri wa kukujaribu, ujue ameona udhaifu. So ji-fix we mwenyewe kwanza, brother.