goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,154
- Thread starter
- #21
Njaa sio kitu kizuri.WIVU na NJAA kali.
Njaa sio kitu kizuri.WIVU na NJAA kali.
Inafurahisha sana...
Wanawake hawapendani... Ingawa huonekana kama ni marafiki wakubwa..
Cc: mahondaw
Hahaha.. Au ndiyo ule msema wa... "wanatafuta ma-likes na ma-followers"Hata humu tu angalia mwanamke mwenzetu anaeza toa mada inayowakilisha any woman sisi wanawake wenzie tunampondaaaaa wanaume nao wanampondaaaaa khaah!
Baada ya kumshauri mwanamke mwenzetu ndokwanzaaa tunamdiss majungu kibao..
Japokua sio mada zote..
Cc Smart911
Acha tu love... Sisi kwa sisi tunadisiana sometimesHahaha.. Au ndiyo ule msema wa... "wanatafuta ma-likes na ma-followers"
Naikubali font yako inaitwaje???Wameumbiwa mijiwivu hawa usione ajabu sana..!!! Kila kitu wivu "usishangae anakuonea wivu hadi unapoenda haja" hawana dogo...!!
Sawa mkuu nipo hapaacute b njoo huku