Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

Mwanamke kuomba pesa kwa mwanaume aliyezaa nae....!!!!

To the younguns.

The best way to quit smoking is before starting.

Word to the wise.
 
Kama nimeielewa topic huyu mtoto anaishi na baba wa kombo. Ujue kusomesha siyo matumizi tu. Mtoto aindi toilet. Au baba mpya afanikishe makuzi ya mwanao. Kuchangia muhimu ila baba mpya afahamu na makubaliano yawepo.
 
Namanyele........huyu jamaa anayeishi na mtoto ambaye si wake hana tatizo na yeye ndio anayelalamika kwamba kwann mkewe amuombe pesa jamaa aliyezaa nae wakati yeye anamuhudumia kwa kila kitu?

Mkuu Runner.......nimekuelewa vizuri sana ila mm ninachopinga ni huyu mwanaume mwenye mtoto asilalamike kuombwa pesa za mtoto,ili kuepuka hili amgomboe mtoto wake na amweke sehemu anayojua yeye,kama huyo mwanamke akiendelea kuomba tujue analake jambo
 
Last edited by a moderator:
mi naona huyu mama anahitaji huduma nyingine, naona aliamua kuzaa na huyu jamaa ili atumie mtoto kama kigezo cha kumshika baba.
 
ila kabla hatujamrushia mawe huyo mwanamke tujiulize baba mtoto anapoambiwa atume hela anatuma dhilingi ngapi? Usikute anatuma elfu ishirini au kumi hiyo ndo anatarajia imkimu mtoto huku mwanaume mwenzie anahudumia....
 
Back
Top Bottom