Mwanamke kung'ang'ania kwa mwanaume

Mwanamke kung'ang'ania kwa mwanaume

Kijana kama unajijua kuwa huna malengo na mtoto wa watu ni bora uachane nae tu...na uende kimboka ukamalize shida zako...kuliko kuwarubuni mabinti za watu kwa ahadi za uongo na kumpotezea muda wake..jambo ambalo hata wewe umgekuww kwenye nafasi ya mwanamke usingependa kufanyiwa.....huyo binti hakuja hapo kama kichaa bali kaitwa tena kapanda basi kutoka kwao..mpakao kwako...na baada ya kumfunua unamuona hana thamani tena na hastahili kuwa na wewe....huu nao ni unyama kama unyama mwingine...na mimi naamini kuwa haya mambo lazima yatajirudia kwenye maisha yako...kama sio kwa wanao wa kike au hata kwa dada zako....UTU KWANZA.....

Ningekuwa na uwezo wa kulike mara mia ningelike hii.

On the other side
Huyu dada nae hana kwao au?? Hivi unanzaaje kukaa kwa mtu hakutaki hata kama ulikosea ukaanza nae mahusiano?
Kuna kitu niliwahi jisemea
Wanawake wengi huwa tunajipa kazi za Mungu, tunaamini tunaeza badilisha maji yakawa divai kama Yesu.
Imani yetu ni kubwa hadi Mungu mwenyewe anashangaa ahahhahah
 
Hamuna imani yeyote, ni mna makengeza tu.
 
Atoke aende wapi? jua kuna ndugu zake wanajua kuwa yupo kwako la sivyo wangesha mtafuta na kutoa taarifa polisi ila wanajua yuko salama salimini. Umemchezea X-mas na mwaka mpya sasa unaona hafai? tabia chafu hiyo acha na fanya mpango ukajitambulishe hakuna vya bure katika dunia hii.
 
Najua ni wewe mwenyewe.. Mpe task,mtume mkoani,mpe hela ya kutosha kidogo..akiondoka wewe, tafuta nyumba nyingine,hama haraka sana,halafu badilisha simu, akirudi anakuta umehama na simu na haipatikani.Atajiongeza mwenyewe

demu atafuata jamaa kazini
 
Ningekuwa na uwezo wa kulike mara mia ningelike hii.

On the other side
Huyu dada nae hana kwao au?? Hivi unanzaaje kukaa kwa mtu hakutaki hata kama ulikosea ukaanza nae mahusiano?
Kuna kitu niliwahi jisemea
Wanawake wengi huwa tunajipa kazi za Mungu, tunaamini tunaeza badilisha maji yakawa divai kama Yesu.
Imani yetu ni kubwa hadi Mungu mwenyewe anashangaa ahahhahah

Hahahaa hatariii tuna imani si kdg
 
Umenikumbusha hadithi ya zamani binti ameganda mgongoni anaimba "... nibebe hivyo hivyo umenitoa kwetu kwa baba na mama..."
 
Haya mambo ya kupeleka/kuleta mabinti gheto/nyumbani ni majanga tu.

Peleka mtu gheto ambaye unamipango naye kutoka moyoni mshindwane kwa mengine lakini sio kila sketi ilale kitandani kwako. kuna watu wanaganda mpaka akili zikukae sawa.
 
Hamuna imani yeyote, ni mna makengeza tu.

Ndugu yangu hujaonaga tu
Makengeze huwa wanaona ila watu wana imani ya kubadilisha nyekundu kuwa nyeupe to the extent Mungu alipo kwakweli anasema..aise this woman has faith in herself.
Kwani makengeza hawana sight?
Hata kipofu mwenyewe anatumia fimbo
Hapa naongelea imani.yani yetu dah
I love me some women
 
BRENDA1

Acha tu
Yani we want to be superwomen, God, game changers, diplomats, all that.
Praise be to women lol
Ndo maana tunaangukia pua most times.
 
Last edited by a moderator:
wanaume jamani mungu tusaidie sana huyo ni dem kama ulivyosema au mkeo maana siku hizi mke sio lazima ufunge nae ndoa unakaa na mtoto wawatu 10 yrs unamuita demu huyo kaja kwake umeishi nae tangu ana miaka 21 mpaka sasa ana 30 unamuita dem huyo kaja kwake na anajua why unamfukuza unataka uendeleze kuifanya hiyo nyumba guest mimi sina la kukushauri jipange ufunge nae ndoa tuu akitoka hapo atakuendea kwa babu utarogwaaa wewe mpaka umwage uteee au atakuendea kwenye makanisa ufanyiwe maombi ya kichawi wewe maana kuna maombi na maombi ya kichawi unafungwa na vifungu vya maandiko utakomaa
 
Back
Top Bottom