Mwanamke kung'ang'ania kwa mwanaume

Mwanamke kung'ang'ania kwa mwanaume

Ndio akome kudandia mabinti wa watu. Dawa ya kudumu ni huyo aoe tu..ale vya halali..
 
ebhane ni mtihan sana maana anasema nauli ipo kwenye mpesa ya demu tokea mwaka mpya..ila akiongelea tu safari demu anapanic..
Amwambie besti yake ampigie simu usiku nae a save jina lake kwenye simu kama "boss edward" mfano. Kisha ampe taarifa za msiba kuwa kuna mtu job kafiwa. Sasa yeye inabidi asafiri ametumwa na ofisi kum support huyo mfanyakazi mwenzie na atasimamia taratibu zote za mazishi hajui atarudi lini. Yeye muda wote awe anaitikia sawa boss ntafanya hivyo. Ndio... ntaenda boss, ni mkoa gani? Kagera? Eeee halafu niunganishe na ile kazi ya mara?!sawa boss. Akikata tu simu awe na uso wa mbuzi asubuhi itabidi nikuache stendi nikukatie ticket inabidi nisafiri kama ulivyosikia kwenye simu. Nae aanze kupanga mizigo yake no discussion. Kazi kazi tu. Sana aana anasikitika kwa nguvu dah jamaa masikini...
 
Hii noma, na hao waki komaa wana komaa kweli…
 
ebhane ni noma sana..full mtihan

Jamaa inaonyesh hamtaki demu, cha msingi amwambie kuwa hapo walipnga na mshkaji wake, lakin alilkuwa amesafiri, kikazi anarud week ijayo. Then ampange mshkaji mmoja, aje hapo. Lakini kipindi chote wanacho msubiri mshkaj aje aishi na huyu binti kwa furah ili asishtuke kitu.
 
Jamaa anakimbia majukumu hana lolote au demu mbovu sana ndio maana jamaa anaogopa kuoa

lazma iwe ivyo maana kama dem ni chuma ata akikaa mwaka hamna shida. au dem ni mzr lakini anataka vitu vya gharama
 
Mbona umetumia jina la jamaa yako kutusimulia hayo yote....!
Tumeshakujua yaliyokukuta kijana.
 
Wadau ni majanga pia nimelengeshwa mimba na demu ka komaa ahamie kwangu kisa tu na maisha mazuri ushauri jamani
 
kumbe ulimkaribisha mwenyewe mukae wote sasa unataka aondoke aende wapi mtoto wa watu wakati ulishamtangazia nia kuwa utamuoa
 
Amwambie mzazi anakuja kutoka kijijini kwa ajili ya matibabu, kwahiyo atafikia hapo na itakuwa so akiwepo maana hajamtambulisha rasmi mara tu akiondoka kurudi kijijini. Mambo aendelee, akiikubali hii basi ndo changa la macho na funguo abadilishe kabisa.
 
Anza tabia ya kujikojolea kitandani, ataondoka mwenyewe. Harufu ya mikojo ndo itakayomfukuza

Hakikisha wakati wa kukojoa unamkojolea upande wake wa kitanda. Make sure godoro nzima liloee, mkose pa kulala baadae
 
Amwambie mzazi anakuja kutoka kijijini kwa ajili ya matibabu, kwahiyo atafikia hapo na itakuwa so akiwepo maana hajamtambulisha rasmi mara tu akiondoka kurudi kijijini. Mambo aendelee, akiikubali hii basi ndo changa la macho na funguo abadilishe kabisa.

Kama kweli ana tatizo hili hii ndiyo dawa mujarabu
MadameX umemaliza kila kitu. Nakupa "LIKE" kianalogia.
 
Last edited by a moderator:
anza tabia ya kujikojolea kitandani, ataondoka mwenyewe. Harufu ya mikojo ndo itakayomfukuza

hakikisha wakati wa kukojoa unamkojolea upande wake wa kitanda. Make sure godoro nzima liloee, mkose pa kulala baadae

mhhhhhh huu ushauri kuntu kabisa
 
jamaa kasema akimwambia anasafiri demu anamwambia ntaenda kwa dada flan ambaye wamejuana hukuhuku kuwa wametokea mkoa mmoja..hatak kuskia suala la kurud kwao..
 
mnaochangia humu hamjakaa vijijini au makusudi ??
baadhi ya maisha vijijini maisha magumu dada kaja town kila kitu ananunuliwa halafu trip za shamba hakuna wala kuchota maji lazima ang'ang'anie ningemjua huyo dada ningemshauri abaki tu kijijini maisha sio poa ccm wamewasahau huko tena ashike mimba haraka tu.
 
jamaa kasema akimwambia anasafiri demu anamwambia ntaenda kwa dada flan ambaye wamejuana hukuhuku kuwa wametokea mkoa mmoja..hatak kuskia suala la kurud kwao..
Akienda si ndo ameonda...tayari. chengine aweza kusema kuwa baba mwenye nyumba haruhusu vimada humu ndani maana alihamia bachelor
 
mnaochangia humu hamjakaa vijijini au makusudi ??
baadhi ya maisha vijijini maisha magumu dada kaja town kila kitu ananunuliwa halafu trip za shamba hakuna wala kuchota maji lazima ang'ang'anie ningemjua huyo dada ningemshauri abaki tu kijijini maisha sio poa ccm wamewasahau huko tena ashike mimba haraka tu.

Umenena vizuri, kwanza alivyokuwa analala nae kama mke alitegemea nini????? huyo dada akomae hapohapo, tabia yakuchea watoto wa watu akome. natamani ningemjua huyo bint kwa kwel.
 
kibaya zaid jamaa anademu wake mngine yuko masomoni huyu kamficha..
 
jamaa kasema akimwambia anasafiri demu anamwambia ntaenda kwa dada flan ambaye wamejuana hukuhuku kuwa wametokea mkoa mmoja..hatak kuskia suala la kurud kwao..

Mbona hiyo ndo poa? Akienda kwa huyo rafkie ndo ntolee... Ni mwendo wa kurudi usiku na hakuna kukubali aingie.

Wakati huo awe na RB kabisa maana kipigo huyo demu kinamuhusu aking'ang'ania kuingia ndani.
 
Back
Top Bottom