New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,420
- 2,642
:tonguez:
Ahahahhaa ndo kashapata mke hivyo.
Mwenzie ameshajiwekea malengo,anakaa miezi 6 ili mahusiano yao yatambulike kama ndoa kiserikali alafu ndo ataondoka akajipange kuhamia kabisa!!! Mpe HONGERA zake.
Dah hii kali lolKwanza akaripoti kwa m/kiti wa mtaa/kijiji baadae isilete kesi.
Kisha amtegee akienda sokoni au saluni ye asafiri wiki nzima au zaidi. Aache begi la huyo mdada corridor na amtumie nauli simuni.
Afanye hivyo hima maana huyo anafosi kingi. Mda si mrefu atajaa mimba afu maisha hayatakua marahisi tena....... Nina uzoefu na hilo!!
ebhane ni mtihan sana maana anasema nauli ipo kwenye mpesa ya demu tokea mwaka mpya..ila akiongelea tu safari demu anapanic..
Amuowe tu, mda wote huo! Hata wazazi wake watakuwa wanajua tayari mwanao amepata mme, alafu ki hulka wanaume huwa tunakuwa na tamaa, lkn wanawake huwa wanapenda!!, inabidi tujue hili, aoe tu.