MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Dah kwa jinsi navyo kujua wewe huachi kitu hapo lazima ukandamiza mkuu kwi kwi na unavyo jua wanajua sana neno kupenda dah we acha tu watu tunaogopwa kufumwa maana ukifumwa utakacho kipata hehehe.
Does it matter Nyani?
Yes I am.
labda sugarmummy hilooo au mdada kaolewa na kizeee anataka damu changa inayochemka hahhahahaha kazi unayo........
Have you ever been dumped/ dissed by a dude?
unfortunately yes and it did hurt kiasi kwamba aliporudi kutaka baby come back I didnt have strength to let him in........
"si unajua dada, mie sijaoa huwezi jua huenda ukawa mke wangu, aftaloo tutatumia "kiroba" (kondomu bwana!),......
"Mh, unajua mama ananiambia nioe muda mrefu namimi naamini muda umefika sasa, nakuapia hakiya-mulumbu no! ntakuoa
Nasikitika kama ndo utongozaji wajo ni huu msichana ambaye yuko top of the game humlazi chali, atakuona wewe mshamba sana eti nikuowe!!! Loooh amekuambia anashida na ndoa? Eti mama kanambia niowe, so what? mzee unahitaji shule ya kusomesha demu hizi ni za kijijini ambako kila demu anataka kuolewa....pole sana kaka Mzizi!
Tehe tehe Masa bwana, hiyo ilikuwa ndiyo enzi zetu kipindi hicho hatiujaoa, na tulikuwa tunawapata sana tuuuu! tena hapahapa Dar. Ila ni siku nyiiingi maana sasa hivi nduguyo nimeoa na sitongozi tena! nakula vyangu tu.
Hivi kumtongoza mtu maana yake nini? Nini maana ya "kutongoza"? Nafikiri ni ku-propose jambo kwa mtu, kushawishi, kuvutia ili afuate kile unachotaka kutoka kwake. Na mtu unaweza kumtongoza mwingine kwa kunena (kauli), kwa ishara, kwa gestures (lugha ya mwili - macho, tembea, ongea) kama haya yanafanywa kwa LENGO la kumu-win mwingine. Kama maelezo yangu ni sahihi, naamini wadada ndiyo mara nyingi - kama si daima - basi wadada ndiyo wanaotongoza wanaume. Nyie hamjui. Huo ndiyo ukweli. Ninyi mmeji-base kwenye aina moja tu ya kutongoza: yaani kwa kauli wazi. Kubali hapo tu si kuutendea haki msamiati "kutongoza".Sisi huku wacha tuendelee na mila zetu,waache wao wafanye kinyume,kwani hata wao wanashangaa inakuwaje wanaume wanatongoza wanawake.
siku nyingine mpeleekee kizawadi kidogo, kama pipi, muulize umewahi kuonja hizi pipi? au mints, kwa kaka yyote mwenye uzoefu wake au aliyekomaa atajua dada ajenda yako nini, atakupa maneno, na hapo hutaonekana umeanzisha wewe, na kama atakupiga buti bado haiwezi kusound sana maana hujasema neno lolote. au vipi??
Hivi kumtongoza mtu maana yake nini? Nini maana ya "kutongoza"? Nafikiri ni ku-propose jambo kwa mtu, kushawishi, kuvutia ili afuate kile unachotaka kutoka kwake. Na mtu unaweza kumtongoza mwingine kwa kunena (kauli), kwa ishara, kwa gestures (lugha ya mwili - macho, tembea, ongea) kama haya yanafanywa kwa LENGO la kumu-win mwingine. Kama maelezo yangu ni sahihi, naamini wadada ndiyo mara nyingi - kama si daima - basi wadada ndiyo wanaotongoza wanaume. Nyie hamjui. Huo ndiyo ukweli. Ninyi mmeji-base kwenye aina moja tu ya kutongoza: yaani kwa kauli wazi. Kubali hapo tu si kuutendea haki msamiati "kutongoza".
Kwa hiyo mjue kuwa wanawake diyo daima wanatongoza wanaume kwa gestures, na ishara tele. Akikupenda hata uwe na ujanja na busara za Solomon ujumbe utafika tu, tena vizuri, na mara nyingi atakupata tu. Labda uamue kufunga milango yote ya fahamu. Hongereni wanawake. Mmejaliwa. Si lazima mwongee kwa maneno. Hiyo yatosha. Ujumbe mnaufikisha kwa wababa.
Wanawake wengi Bongo huolewa na watu wasio wapenda, kwani wale wanaowapenda hawawezi kuwaambia na kwa hiyo inabidi asubiri yule anayemuapproach (hata kama hampendi) alafu baadaye aanze kujilazimisha kumpenda na mwisho wake anampenda kweli, na akisikia anataka kumwacha wengine wanafikia hata hatua ya kunywa sumu.
Lakini kuna njia nyingi za kuapproch, kwa Bongo tumezoea wanaume wanajileeza maelezo mengi na mashairi ya kumwaga utadhani ya Shaban Robert, kwa wenzetu haiko hivyo, kwani wao wanaamini Mtu mzima akikuambia NO leo hata kesho ni NO. Lakini Hapa Bongo wadada wanasema NO wakimaanisha nikafikiri alafu kesho anakuja na Jibu la nipe Muda alafu kesho kutwa YES sasa inakuwa mambo africa Bambataa.
Wadada wanaowapenda wanaume na kwa vile wanaogopa kuonekana wahuni nawashauri watumie non-verbal techiniques, kwa mfano muulize mkaka kama ataweza kukupeleka sehemu fulani kama naomba unisindikize dukani Jumamosi nataka kwenda kuangalia kiatu (Ujue kwanza kama anapenda vitu vya bei kubwa au ndogo, usimpeleke asikoweza kufika) ukifika huko haimaanishi akununulie hata akija na pesa zake (wakaka wengi wanapenda kujitutumua) mwambie hapana, usipokee ofa katika hatua hii, kama una pesa zako nunua (kama Utakiona) kama hakipo mwambie nashukuru kwa kampani yako, na mwambie kuwa window shopping ni tamu mkiwa wawili.
siku nyingine mpeleekee kizawadi kidogo, kama pipi, muulize umewahi kuonja hizi pipi? au mints, kwa kaka yyote mwenye uzoefu wake au aliyekomaa atajua dada ajenda yako nini, atakupa maneno, na hapo hutaonekana umeanzisha wewe, na kama atakupiga buti bado haiwezi kusound sana maana hujasema neno lolote. au vipi??
Ukiwa naye kazini hapo ni rahisi zaidi mana ni rahisi kumuuliza vipi tukanywe chai wote? au lunch? au utapenda kunipa lift? au nikupe lift? au kwanini leo usipite njia hii (unayopita wewe) au unapenda nikusindikize??? Ni rahisi sana kwa mwanamke kumtongoza mwanaume kuliko mwanaume kumtongoza mwanamke....