joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
Well said. Habari yako Abrianna?Zungumza nae, pengine kuna jambo anaona aibu kushare na wewe, au mbadilishie style, ikiwezekana onana na daktari wa wanawake kujua kama kuna tatizo
Msongo wa mawazo pia husababisha hali hiyo,unatakiwa kumpa maandalizi ya kutosha
Angalia hali yake ya maisha, majukumu yake, ana watoto wadogo au kunyonyesha? Mambo kama haya yanaweza kusababisha hali kama hiyo
If none of the above, basi ana mahusiano nje au amekuchoka or perhaps affection imekufa