Mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa husababishwa na nini?

Zungumza nae, pengine kuna jambo anaona aibu kushare na wewe, au mbadilishie style, ikiwezekana onana na daktari wa wanawake kujua kama kuna tatizo

Msongo wa mawazo pia husababisha hali hiyo,unatakiwa kumpa maandalizi ya kutosha

Angalia hali yake ya maisha, majukumu yake, ana watoto wadogo au kunyonyesha? Mambo kama haya yanaweza kusababisha hali kama hiyo

If none of the above, basi ana mahusiano nje au amekuchoka or perhaps affection imekufa
Hatari hii!!
 
Huwa inawatokea na kuisha ni kawaida hasa km anauzazi wenye shida na njia iliongezwa wkt wa kujifungua!
Stress pia inachangia
 
Kushauri wenzangu haya mambo naweza kweli

ila niambie mimi niishi haya maushauri sasa! sikia mwamba

mi sijui hata chakushauri maana kuna details nyingi sijazijua kutoka

kwako na kwa mwenzako,ni sawa na mtu aniambie anaumwa kichwa nimpe panadol

ntakua nakosea "si kwamba panadol haitibu kichwa" ila inahtajika kujua chanzo cha maumivu ya kichwa.
 
Hizi case nimekutana nazo nyingi sana, ni vitu vingi sana vinapelekea mtu kuwa kwenye hali hiyo tena sio kwa wanawake tu bali hata wanaume linawapata.

Ingependeza kama ataonana na Dr wa mambo ya uzazi kwa maelezo zaidi naamini litakaa sawa.
 
Zungumza nae, pengine kuna jambo anaona aibu kushare na wewe, au mbadilishie style, ikiwezekana onana na daktari wa wanawake kujua kama kuna tatizo

Msongo wa mawazo pia husababisha hali hiyo,unatakiwa kumpa maandalizi ya kutosha

Angalia hali yake ya maisha, majukumu yake, ana watoto wadogo au kunyonyesha? Mambo kama haya yanaweza kusababisha hali kama hiyo

If none of the above, basi ana mahusiano nje au amekuchoka or perhaps affection imekufa
Ni nini hasa sababu ya affection ya mwanamke kwa mumewe kufa?
 
Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa sasa kuna siku demu alimuambia yeye anatatizo la kukosa hisia kwenye tendo,jamaa baada ya kusikia ivyo akajitoa sijajua yule baadae kama alikuja kuolewa tena ama niniila huu ugonjwa upo kwa wanawake
 
Ni nini hasa sababu ya affection ya mwanamke kwa mumewe kufa?
Kuna mambo mengi sana, women are emotional creatures, the easiest way ya kudeal na mke ni kujua hisia zake na kuzilinda.

Kauli ndogo tu inaweza kubadilisha mwelekeo wa mahusiano

Ndio maana mwanamke mwingine anakwambia nilipogundua tu ana mahusiano nje hisia zangu kwake zimekufa, sio kwamba anapenda bali ameumizwa hisia kwa hiyo ile attachment aliyokua nayo anaitoa moja kwa moja

Ni rahisi pia kurudisha hisia za mwanamke au affection, the easiest way ni kuwa karibu nae na kujaribu kushare mambo ambayo yanampa furaha, having good moments together, au kumfanya akuamini tena.

Niseme tu inategemea na mtu,pengine hata hajafanyiwa jambo baya na mwenzi wake ila hisia zimepotea labda kwa sababu ya hali ya maisha au majukumu aliyonayo, au stress au hapati muda hata wa kupumzika, au hata mabadiliko ya meili or hormonsl issues, kwa hiyo all she needs is emotional support, having that feeling kwamba i am not alone in this, someone is always by my side ni treatment tosha

Ndio maana nikamshauri ikiwezekana wamuone daktari pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom