What an idiot? Umekimbilia JF kupata ushauri. Mbona husemi kama ulimuuliza mkeo anachofanya na kutuambia hadithi aliyokueleza unaleta habari nusu nusu. Ndio umbeya wenyewe huo, kama unampenda mkeo ungeleta hilo jambo hapa kwenye mkeka? Tena unasema anamtuma dreva yaani wewe ni tajiri sana asubuhi subuhi tu una dreva wa kukufanyia maswala yako binafsi? Watanzania hawawezi kuendelea kutokana na kasumba ya kujifanya wana pesa wakati ni masikini wa kutupwa, ati una gari na kuajiri dreva then unalalamika na pesa za peremende stupid kabisa. Grow up!
Amefikia wapi kielimu?asante kwa ushauri wako nakaa sasa chini nitafakari nn cha kumsaidia,katika namna nyingine nlimpa mtaji miezi sita sasa lakin kila nikimuuliza ansema alikopesha walokopa hawajamlipa hadi sasa
........Sasa kama wazazi wake hawana mlo, na yeye ana uwezo wa kuwalisha kuna tatizo gani?
Acha kulalamika, je mkeo yeye hana kipato?
huwez kumshauri mtu bila matusi?(IDIOT,STUPID) au unafikiri mm sijui matusi ya kiingereza ?
Dereva sijamajiri mm ameajiriwa na shirika mm ananiendesha tu na nilifanya vile kwakuwa natambua yule ni mzazi wangu pia.halafu hapa mm si lalamikii pesa na lalamikia tabia ya mke wangu siku nyingine usome kwa makini kama hujaelewa acha usichangie had unatukana ningekurudishia matusi pia lakin basi haina maan
Kuzaa toto la kike bora ubadilishane na paka angalau atakamata panya home..
nashukuru kwa ushauri mke wangu hana kazi ya mshahara,nilimpa mtaji wa kutosha kabisa ni miezi sita sasa sioni pesa ya mtaji wala faida zaidi ya madeni ya nguo ambazo kimsingi si lazima kwa sababu zilizopo zinatosha,kama haitoshi kuna wakti ametoa pesa kwenye account yangu ya Mpesa nimemuuliza anakataa wakti mm nimpata ushahidi wote toka voda
Kuzaa toto la kike bora ubadilishane na paka angalau atakamata panya home..
Kuzaa toto la kike bora ubadilishane na paka angalau atakamata panya home..
........Sasa kama wazazi wake hawana mlo, na yeye ana uwezo wa kuwalisha kuna tatizo gani?
Acha kulalamika, je mkeo yeye hana kipato?
Yani mijamaa mingine nuuuunda kwelikweli sasa wakwezo kusaidiwa vitu vidogo kama misosi ni mpaka mkae kamati kuu kwani ulipooa hukujua unaoa toka familia gani? wakwezo kupita mtaani pekupeku wakati wewe unapita na mwanae kwenye vx unaona fresh? wazazi ni sawa na watoto wenu bhana mwanao akilala na njaa wewe utapata usingizi?Wapendaw salaam na heri kwa sikukuu.
Naomba ushauri wa nini cha kufanya hapa niko kwenye ndoa mwaka mmoja sasa,hivi karibuni nimegundua kuwa mke wangu anachukua vitu vya ndani madhalani vyakula na kuvipeleka kwa wazazi wake kisiri bila hata kunambia, nimeona mwenyewe asubuhi akimtuma dereva yebo . Alijua mm bado nimelala kumbe niko chumba kingine ambacho dirisha halikufungwa na kila kinachofanyika nje kinaonekana.nimekuwa na tatizo la vitu kuisha ndani kabla muda wake kwa mfanoo na nunua consumables kwa ajili ya mwezi mzima matokeo yake kabla ya mwezi utaambiwa vimeisha.
Nampenda mke wangu ila kwaa hili amenikwaza kwan ndo kwanza tumeanza maisha sasa kama kila hela itaishia kwenye vyakula tutafanya cha maana kweli?
Usinunue tena stock ya mwezi, mwachie buku mbili ya msosi kila siku
.......Dahh!! Unafikiria nini future ya mkeo? Kama hana kipato inabidi ufanye kitu.Kama mtaji umegoma,biashara hawezi, je shule itamfaa?ndugu tatizo ni kwa nini afanye kwa kujificha. Hana kipato I have to take care of her A to Z,
sio vzr mkuu,maneno mabaya sana hayo.waombe radh wanawake.
Kumbuka mamaako ni mwanamke, fikilia mara mbili kabla hujapost jambo kama hilo.
hahahaha mkuu wewe ndio umeua kabisa
Wapendaw salaam na heri kwa sikukuu.
Naomba ushauri wa nini cha kufanya hapa niko kwenye ndoa mwaka mmoja sasa,hivi karibuni nimegundua kuwa mke wangu anachukua vitu vya ndani madhalani vyakula na kuvipeleka kwa wazazi wake kisiri bila hata kunambia, nimeona mwenyewe asubuhi akimtuma dereva yebo . Alijua mm bado nimelala kumbe niko chumba kingine ambacho dirisha halikufungwa na kila kinachofanyika nje kinaonekana.nimekuwa na tatizo la vitu kuisha ndani kabla muda wake kwa mfanoo na nunua consumables kwa ajili ya mwezi mzima matokeo yake kabla ya mwezi utaambiwa vimeisha.
Nampenda mke wangu ila kwaa hili amenikwaza kwan ndo kwanza tumeanza maisha sasa kama kila hela itaishia kwenye vyakula tutafanya cha maana kweli?
Asikutoe povu bure bidada, may be mamake ni mwanaume
Sio kila mwenye mama anamheshimu mwanamke. Je, kama mama'ke alimtupa jalalani akaokotwa na kulelewa na msamalia mwema?