asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
habari!
Nahitaji mpenzi mwenye sifa kuu kuwa awe kimbaumbau/portable , sexy , presentable na asiwe mtu wa kujivunga vunga hovyo.mambo ya sitaki nataka hayana nafasi hapa kwangu..........
matukunyema na size ya kati yameshanichosha , ukitembea naye tension kwenu , akitembea mwenyewe miluzi , akivaa nguo anatafuta namna ya kupunguza ndembendembe na mimi wivu hauishi........... nataka amani ya mpenzi wangu kutokuangaliwa angaliwa wala kutolewa mate na mijicho.
watu kama Madame B , amu , Passion Lady , Heaven on Earth and company, you dont stand a chance hapa.
Nipo serious kuliko kimeta , aliyeinteresting aje PM.

Last edited by a moderator: