Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu...

Mwanamke kicheche huolewa na mwanaume mtulivu...

Hili jukwaa limebakia jina tu hamna kitu cha maana tena huku ni bora kusearch thread za zamani.

Tatizo kila mtu anataka aonekane anajua kupost thread kwanini wasibaki kama sisi wengine ni kucoment tu :what: sasa kama huyu sijui ndo anatushauri tuzidishe kugegeda ili tupate waliotulia
 
Hope ur on ur way mume mtulivu mana niko mcharuko vibaya sn saivi...
 
Yaani na mcharuko huo mi Bado nakuona decent..au mie ndo mpole?

hahhahhahahahha...wewe u must be the master mcharuko, level zako sijafika..mana daahh kuna raia washaniona mi sio waifu material
 
huo utafiti umeufanyia wapi JUMONG? Kwa data za karibuni zinaonyesha kundi la under 25years ndio linaongoza kwa maambukizi hasa wengi wakiwa ni wanachuo na wanafunzi

kwa analysis zipi ndugu yangu, sidhani kama umekumbuka coefficient zote kama vile drag coefficient n.k

Utafiti wa kimagumashi huu. Source please!!!!!

Mashaka matupu...

Labda...loading error..............

duh ingekua hivyo silazima kila siku kungekua na kesi za kifamilia coz ingekua kila siku migogoro tu!!!

Hizi ni tafiti za akina dk. Bana. Tafiti pendelezi.
 
Back
Top Bottom