uliwahi kumuuliza huyo jamaa(kama sio wewe) kama wote walikutana wakiwa ni "used"?
Nachukia gesti house
GF wake alimwambia kuwa sister ake ndo aliyemueleza kuhusu hiyo guest
ok, kamuulize. ukiona huwezi kumpa ushauri kwa jibu utakalopewa, rudi hukuSijwahi kumuuliza
Amuulize gf wake. Labda aliambiwa?
Na kama wana miaka inayo ruhusu mahusiano kama hayo
basi ni muda wa kutafuta makazi yenye mazingira yanayo ruhusu kufanya hivyo vitu home.
Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu...
as if ke hawana haki zakuzijua guest wakati zipo kwa ajili yetu sote lol
Huyu 'rafiki' wa mtoa mada anatakiwa apate gf atakaemuambia kitasa cha chumba 105 hakifungi na bomba la 210 halitoi maji vizuri. Lol
nachukia gesti house
mkuu, kitufe cha like sikioni. chukua hizo: like! like! like! like! like!
Nauhakika hizo namba hujazitaja bahati mbaya..hebu malizia na jina la hiyo sehemu kabisa...lol..
Hehehe machi machi gest hausi. Iko mwembe jini karibu na kndoni makaburini. Kama ukienda angalia room 101 kuna kitobo cha kupigia chabo masela.
Nachukia gesti house
More importantly as if men have more rights to be wazinzi than girls!!!!as if ke hawana haki zakuzijua guest wakati zipo kwa ajili yetu sote lol
Ndege wake???!!! Seriously??? Huyo jamaa ana haki kweli ya kusema ana ndege hapo??Jamaa alikuwa akihitaji ushauri kwa rafiki yake maana alikuwa akihisi kama anachukuliwa ndege wake...
Ni kawaida kwa marafiki kushauriana na kuelezana mambo yao, iwe wanaume au wanawake.