Mwanamke kama huyu utamchukuliaje???

Mwanamke kama huyu utamchukuliaje???

Jana jioni nilikuwa nimekaa na rafiki yangu mmoja kwenye sehemu tulivu tunapata kinywaji huku tukiendelea na maongezi. Akanipa story ya girlfriend wake ambaye alikuwa na kawaida ya kufanya nae mapenzi kwenye guest moja maeneo ya ilala, juzi yule GF wake akakataa kwenda kwenye ile guest house kwa madai kwamba haina mazingira mazuri ndani kitu ambacho anakuwa hayuko comfortable awapo pale so akaomba jamaa atafute guest nyingine yenye mazingira mazuri yaani "self contained".

Jamaa akawa amepuuzia maneno ya GF yake, time ilipofika akampeleka kwenye guest ile ile ya siku zote, GF akagoma kuingia badala yake akamwambia jamaa twende huku, jamaa akamfuata demu akampeleka kwenye guest nyingine ambayo ilikuwa imejificha kidogo na ina mazingira yote ambayo alikuwa anamwambia jamaa atafute.

Sasa jamaa jamaa ana wasi wasi juu ya huyo demu alijuaje mazingira ya ile guest!!

kama hakumkuta na bikra, basi ajuwe anakula X-GF wa mwenzie, hivyo kuzijua gesti siyo big deal.... Kama anajuwa sana ku-mind basi aanzie hapo kwenye bikra imeondolewaje
 
What goes around comes around. Kwani huyo jamaa aliwahi kuulizwa na huyo gf kwamba hiyo guest waliyokuwa wanapelekana aliijuaje?

Mzinzi wa kwanza (me) kachagua guest hakuna maswali, mzinzi wa pili (ke) kachagua maswali yanaanza.!!

Hapo chacha
 
Amuulize gf wake. Labda aliambiwa?
Na kama wana miaka inayo ruhusu mahusiano kama hayo
basi ni muda wa kutafuta makazi yenye mazingira yanayo ruhusu kufanya hivyo vitu home.
Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu...

"Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu''....
.. natatizwa sana na huko guest... sijui kwa nini naona guests ni za mapleya!
 
na mie nauliza tu sehemu gani ni nzuri kwenda wapenzi hotelini ama?
 
Kwan huyo gf ulimkuta bikira,dem wako mpya,alikuwa dem wa mwenzako wa zaman,so inawezekana mazingira anayajua vizuri kabla hujawa nae!
 
Honey Faith, kama mwanamke ungejisikiaje kila mnapotaka kukutana na mpenzi wako iwe huko guest?
Kwani nyumbani hamna mazingira mazuri ya "kukutana"?
Mara nyingi wengi hata hawajui wapenzi wao wanaishi wapi, wao ni kukutana guests, kula, kunywa na kufurahia maisha... ndo maana mi naona ni sehemu ya mapleya.
 
Last edited by a moderator:

may b mpenz anaishi kwao so awe anakupeleka kwao mi naona haijakaa poa
 
Last edited by a moderator:
"Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu''....
.. natatizwa sana na huko guest... sijui kwa nini naona guests ni za mapleya!
gf au changu hakuna tofauti wote ni uzinzi tu.
 
ata mim ningekuwa ndo uyo dada ningemuonyesha nying zaidi ya io moja,khaa yan kupelekana maguest hadi lini labda,izo ndo relationshp za kusindikizana,ujue kuna wengine wanampeleka guest nzuri,we unafikiri uyo dada boya kujifanya anaijua sehemu nyingine,message sent
 
Amuulize gf wake. Labda aliambiwa?
Na kama wana miaka inayo ruhusu mahusiano kama hayo
basi ni muda wa kutafuta makazi yenye mazingira yanayo ruhusu kufanya hivyo vitu home.
Unampelekaje gf guest jamani, kama changu? Nimesema tu...

Jamaa atakuwa kula kulala
 
Kwan huyo gf ulimkuta bikira,dem wako mpya,alikuwa dem wa mwenzako wa zaman,so inawezekana mazingira anayajua vizuri kabla hujawa nae!

Kama ni hivyo angekataa yale mazingira siku ya kwanza alipopelekwa na sio aende we af ndo aje agome hiyo guest kaifahamu akiwa kwenye relationship na huyo jamaa swali hapo ni kaijuaje ilitangazwa kwenye tv akaiona, kaambiwa na rafiki zake au alipelekwa na jamaa mwingine akayazimikia mazingira
 
Kwa huyo jamaa hana chumba jamani mpaka waende guest house...chumbani kwake ndo mpango mzima mkuu.
 
Asiwe na shaka, angekuwa amewahi kwenda na mwanaume mwingine asingekubali kumpeleka huyu BF wake wa sasa
 
Jana jioni nilikuwa nimekaa na rafiki yangu mmoja kwenye sehemu tulivu tunapata kinywaji huku tukiendelea na maongezi. Akanipa story ya girlfriend wake ambaye alikuwa na kawaida ya kufanya nae mapenzi kwenye guest moja maeneo ya ilala, juzi yule GF wake akakataa kwenda kwenye ile guest house kwa madai kwamba haina mazingira mazuri ndani kitu ambacho anakuwa hayuko comfortable awapo pale so akaomba jamaa atafute guest nyingine yenye mazingira mazuri yaani "self contained".

Jamaa akawa amepuuzia maneno ya GF yake, time ilipofika akampeleka kwenye guest ile ile ya siku zote, GF akagoma kuingia badala yake akamwambia jamaa twende huku, jamaa akamfuata demu akampeleka kwenye guest nyingine ambayo ilikuwa imejificha kidogo na ina mazingira yote ambayo alikuwa anamwambia jamaa atafute.

Sasa jamaa jamaa ana wasi wasi juu ya huyo demu alijuaje mazingira ya ile guest!!

Hii kitu haina makombo wala hakuna kufuli la kufungia vinginevyo akina Mangi wasinge kuwa wanaua na kujiua pengine alifanya survey baada ya kuona eneo mbalo huwa wanatumia linamkosesha raha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom