Mwanamke kama huyu namuwezaje?

Mwanamke kama huyu namuwezaje?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana, lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu kwa jinsi ninavyomuona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata.

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi. Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie.

Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake.

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi.

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu hata mimi napitia hy changamoto na afadhali wew umetema sumu lakini kwangu kila siku ananiahidi lakini ahadi haitimii in short nimeamua kujipa break kwanza ipo siku atanitafuta tu ...so cha msingi hapo wew mwombe afike nyumbani nadhani mambo yatakuw shwari
 
Pole mkuu hata mimi napitia hy changamoto na afadhali wew umetema sumu lakini kwangu kila siku ananiahidi lakini ahadi haitimii in short nimeamua kujipa break kwanza ipo siku atanitafuta tu ...so cha msingi hapo wew mwombe afike nyumbani nadhani mambo yatakuw shwari
Vijana,acheni kutongoza Wanasiasa,huwa hawatimizi ahadi zao,hapo mtazungushwa na sound hadi uchaguzi ujao bado mtakula sound tu!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyo huna haja ya kubembeleza mchukue siku moja mtoe sehemu mkale alafu mpige na vyombo vya kutosha na kwenye mazungumzo usiweke chochote cha mapenzi wala usielezee sana maisha yako mkimaliza kamata kuku yako kaitafune alaf kata mazoea utaona atakavyoanza kushoboka na ww hapo ndipo unampiga mkuyenge mpka anajuta alaf unatemana nae
 
Kuna aina mbili za kupendwa. Kuna mademu wengine wanaanza kukupenda ukiwapiga mashine. Kwa hiyo jamaa akomae tu
Ila inategemea na umri wa mleta mada ukiwa 27+ huna muda wa kuvutana na mwanamke ukiona umefanya part yako mara moja au mbili haelewiki nyanyua mwendo.

Ila kama anataka kupiga tu amwage mpunga.
 
Ulisema unanipenda una ngapii/
ndo vile ulinambia unaishi wapiii/
Pesa hunaa una magari mangapii/
We yako mapozi tu sa nikupeleke wapii/
Basi imba nisikie pengine utanivutiaaaa/
Cheza kidogo/

Acha niwaze(waazeee)/
Acha nikufikirie/
Acha niwazee/
Kipi niamue heeeee

Ruby ft The mafik-niwaze...

mkuu penye udhia penyeza rupia
 
Mwenzenu kuna demu nimetokea kumpenda saana
Lakini demu huyo bado amekuwa mtu wa kunizungusha akili yangu
Lakini kwa njisi ninavyo muona demu sio mgumu kivile ila kuna kitu nitakuwa bado sijaelewa kutoka kwake ndio maana mpaka leo na pambana kumpata

Huyu demu nikiomba mda wa kuongeya naye hakatahi kuongeya na mimi
Na kila nikiongeya naye jibu lake ni kuwa ni mpe mda afikirie
Ni Kimpa mda afikirie siku nyingine ni kiongeya naye ili kuomba jibu anaomba mda mwingine tena wa kufikiria
Yaani hiyo imekuwa too much kwake

Hivi ni njia hipi ninaweza kutumia kumpata demu kama huyu wenzangu na mimi

Maana kwa akili yangu nahisi demu tayari ameshakubali ila kuna kitu anahitaji kuona kutoka kwangu au kuna kitu nahitaji kuelewa kutoka kwake ili kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asubuhi yote hii unawazia mbususu,duh baadhi ya vijana hawa ni wa hovyo sana ndio maana mvua zilikuwa hazinyeshi
 
Na ili kuondokana na stress za kutafta nyapu moja kwa muda mref ww kua na madem zako wengi tu akikunyima huyu unaruka kwa huyu mambo yanaenda wanawake wapo wengi na wanavitu wanapenda toka kwetu kama huna basi hata pesa uwe nayo ili uweze kumtafuna na kusepa kuliko kusumbuka kila siku.


Imagine upo kwenye deport ya azam alafu unaulizia kuna mo energy😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom